Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), Emilian Joseph Duzu (21), kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi mwenzake wa mwaka wa tatu, Gerald Philbert Said (22).
https://t.co/sHWEpasiGG
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amewasilisha Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, ambapo ameliomba Bunge ridhaa ya kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 56.49 kwa Mwaka wa Fedha 2025/26.https://t.co/r1skey4mVR
Doris anadai kuchoshwa na udhalilishaji wa muda mrefu kutoka kwa mume wake, hasa jina la "kahaba" alilokuwa akitupiwa mara kwa mara licha ya kuonyesha kutoridhishwa kwake
https://t.co/mI7nC4vwbN
Mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ‘Breezy’ ameweka wazi kuwa maisha ya umaarufu yamekuwa na athari kubwa katika afya yake ya akili, huku akieleza kuwa kuna nyakati hutoroka usiku na kwenda kutembea mitaani ili ajisikie kama binadamu wa kawaida.
https://t.co/xfHmw6hqcv
Rapa maarufu na mwenye ushawishi zaidi ulimwenguni kwasasa, Kendrick Lamar ameibuka kinara katika Tuzo za BET zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Juni 10, 2025, hafla inayotambua na kuenzi wasanii, waigizaji na wanamichezo Weusi
https://t.co/w7JYEKl8YH
Watu 28 wamefariki dunia papo hapo, huku wengine tisa wakijeruhiwa vibaya katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea leo katika mteremko wa Mlima Mbalizi, mkoani Mbeya.
https://t.co/uYpe55PIF9
Watu 28 wamefariki dunia papo hapo, huku wengine tisa wakijeruhiwa vibaya katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea leo katika mteremko wa Mlima Mbalizi, mkoani Mbeya.
https://t.co/uYpe55PaPB
Edgar Chagwa Lungu alizaliwa 11 Novemba 1956 na amefariki leo 5 Juni 2025) alikuwa mwanasiasa wa Zambia ambaye aliwahi kuwa rais wa sita wa Zambia kuanzia 26 Januari 2015 hadi 24 Agosti 2021 https://t.co/yZqLCG8rQT
Matukio mbali mbali na mijadala ya kisiasa inayoendelea nchini, imemfanya msanii wa Hip-hop Roma kutoa maoni yake huku akihofia msanii atakae toa wimbo wake kipindi hiki kutofanya vizuri kutokana na haya yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii https://t.co/uGBOF5CFFh
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha Julai 2024 hadi kufikia March 2025, takwimu zinaonesha Watu 1,500,212 kati ya waliopima na kutambua hali zao za maambukizi ya VVU walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza VVU https://t.co/UxmngdPYuD
Inaelezwa Utafiti huo, ulioongozwa na Profesa Arthur Szabo wa Chuo Kikuu cha Kiel, ulibaini pia kuwa wanaume waliowapiga wake zao busu walipata mishahara ya juu kwa asilimia 20 hadi 35 na walitumia siku chache kwenye likizo za ugonjwa
https://t.co/GlRNgue1It
Tajiri na mmiliki wa Mtandao wa X au maarufu kama Twitter Elon Musk ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X kuwa kwa sasa anaachia ngazi kwenye nafasi aliyopewa ndani ya ikulu ya Marekani White House https://t.co/cGwGlXJGQf
Serikali ya Donald Trump imekuja na sera mpya ambayo itahusisha mitandao ya kijamii kwenye Upatikanaji wa Visa ya kwenda kusoma Marekani
Sera hiyo ambayo imetangazwa hii leo imewekwa kwa wanafunzi ambao wanataka Visa kwaajili ya kwenda kusoma Marekani https://t.co/seOu6tnecn
Serikali mkoani Mbeya imeitaka taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU, kwa kushirikiana na ofisi ya mrajisi msaidizi wa vyama vya ushirika mkoa, kuwachukulia hatua kali viongozi wa vyama vya ushirika ..https://t.co/jsVLGAfqHj
Jeshi la Polisi mkoani Songwe lime kamata silaha mbili aina ya bastola katika oparesheni inayoendelea ya misako na doria katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, hatua inayolenga kukabiliana na matukio ya uhalifu.
https://t.co/6PrmkT9TuX
Taarifa ya Soko la Hisa la Dar es Salaam imedai kuwa kundi la watu wenye umri wa miaka 25-35 ndilo linaloongoza katika uwekezaji wa kidijitali, na kutengeneza takriban 47% ya wawekezaji wote wa kidijitali katika Soko la Hisa DSE
https://t.co/KsFMgy9Ctt
Mahakama ya Wilaya ya Chunya imemhukumu Lutenga Wilson Majora (32), mkazi wa Kitongoji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 14 ambaye alikuwa akiishi naye .. https://t.co/hs3CVPZ2wr