Wiki 10 hadi 12 za mwanzo za ujauzito nimuhimu kuanza clinic ya ANCna kuhakikisha umetimiza matembeleo 8 hadi kujifungua. Hili ni sharti muhimu kwa ujauzito wenye afya. Daktari wako atakuambia ni hatua gani unahitaji kuchukuwa ili kuweka mtoto wako kuwa na afya njema kwa miezi 9
Bibi "usile mayai utazaa mtoto hana nywele." Ukweli ni kwamba mjamzito anapaswa kuhudhuria clinic mara 8 kwa kupata huduma kama elimu na ushauri nasaha, kupima afya, kutiwa hamasa na kuimarisha mwili, kutatua matatizo yake na kupatiwa kinga ili kupata afya bora ya mama na mtoto.
"We've made significant achievement in challenging norms, beliefs & traditions that were adopted in favour of patriarchal system & have resorted to empower women who can boldly use their voices to influence community actions that are geared towards #BreakingTheBias" - AATZ CD
@RukiaIbrahim11 @PembaFemaleYout @Hidayajabu1 Je? Kijijini kwako umeshaiona kadhia hii ya mtu mwenye ulemavu akipata tabu kupata haki na wajibu wake. Tetengeneze miundombinu rafiki kwa watu wenye ulemavu.
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake. Tukitambua kuwa % kubwa wapo nyuma ya Maendeleo Je? Unawezaje kumsaidia Mwanamke na mtoto wa kike kutimiza malengo yake mwaka huu Katika uchumi, elimu na uongozi?? @PembaFemaleYout @ActionaidTz@GP_Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 02 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. @venusnyota
Severe flooding in Southern Malawi shows how lives and livelihoods are already being devastated by climate-fuelled #LossAndDamage.
Ahead of next week's #IPCC report, we're calling for support from world leaders for those on the frontlines of the #ClimateCrisis.
Mwaka 2017, Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Accaia ilipaswa kulipa kodi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA yenye thamani ya Tsh Trillioni 424 kwa kutokuweka wazi mapato yake kwa miaka 17.
Je, Kesi hii imeishia wapi??
#HakiKodi#NguvuYaKodi@noradno
"Sheria za Uwekezaji zinapaswa zipitiwe na kuona namna ya kuzifanya rafiki kwa wote kwani humpendelea mwekezaji wa nje zaidi kuliko wa ndani"
- Jovina Nawenzake - Mkuu wa Programu @ActionaidTz#TaxJustice#SealingTheGaps#HakiKodi#NguvuYaKodi
Eneo ambalo tunataka kupata matokeo ya haraka ni kuhakikisha Hospitali za Rufaa za Mikoa zinatoa huduma bora za matibabu kwa wananchi zinazoendana na hadhi ya Hospitali hizi na matarajio ya wananchi. Tutajipima kwenye - Miundombinu, VifaaTiba,Dawa na Wataalam/Madaktari Bingwa