As the chairman wa locust Twitter and a small wig nikama my ancestors wameamua kesho nipande chopper. 5k retweets wajomba is possible. Kaende kama gari ya miraa.
Mangai huyu mwanamke ataniua,saa saba usiku naamshwa na mbu zinadunga dunga kifua kumbe bibi alichukua blanketi yote akaniacha ivo,na hataki nipige misumari tuingiange kama envelope,Ruto must go
Watu hutoka mbali sana,Do you know there was a Time daddy owen alikua mwizi,anapiga watu ngeta for a living,and now hes rolling with the daughter of a president,Hii inanipea hope buana,sitaishi kupewa msomo 2am na bibi juu nimemwambia awache kujufunika na blanketi yote
Wanaume tulisema muache upuzi ya kubeba lunch like nursery kids,kwani hamna aibu ata kidogo ati unabeba mchele na waru kwa bag umeenda job? The only acceptable meal unafaa kubeba ni chapati,unairusha kwa mfuko ya trouser,kwa office unaichuna tu mdogo mdogo