Unampenda msichana wa kiislam una badili dini kwa ajili yake na anakupeleka madrasa hata Bado hujamaliza juzuu anakuacha. Hapo kinachofuata ni nini Sasa kama sio kujiunga na AL SHABAB.?๐๐๐
Kweli damu nzito kuliko maji muda si mrefu nimeng'atwa na mbu nikamdaka ili nimuue nikagundua ana damu yangu tayari kwa hiyo ikabidi ni muacha maana ni ndugu yangu tayari.๐๐๐๐