Kijana, Kuna Wakati Hufanikiwi Kwenye Mambo Yako Kwa Sababu Unatembea Na Kila Mwanamke Anayekuja Mbele Yako, Wengine Wanatoka Familia Zenye “Maagano”, Ukilala Naye Unaondoka Na Nuksi Na Mikosi Yake, Hujarogwa, Unajiroga Mwenyewe!
Binadamu Buana Wanaungana Kukufanyia Ubaya Wakiona Haukupati na Unaendelea Vizuri Wanaanza Kukuita Mchawiii🤣
Wakuu Mungu Hatokei Vijijini Kwenu… Na Mungu Ndio Anayepanga La Kumpata Mja Wake🙌🏽
Usiku mwema Na Heshima Yenu Mnahudumia Wanaume Hizi Hela Zilivyongumu
Lkn kuna Watu mnanunua Mapenzi
alooooh Mi Nae nipendwe tu Kama Nilivyo Msela😩😆💔#hawaLifestyle
Mfanyabiashara Unapo sali Usiache Dua Hii
"Ewe Mwenyezi Mungu, Mfalme wa
mbingu na ardhi, tunakuomba utufunulie baraka zako katika
biashara hii. Tunakuomba ulete wateja waaminifu, wenye heshima, na ambao watakuwa na furaha kutusaidia. Uwe pamoja nasi katika kila hatua ya biashara
Kuna marafiki ukiwaconnectia nafasi ya kazi sehemu unapofanyia kazi au mchongo wanakugeuka ubaniwe kazini au usipewe michongo 🙌
Huu Mwaka Nimewaogopa Marafiki Moja Kwa Moja🤣🥹