Ila hii nchi ngumu sana ๐๐๐
Ndege ilitoka Dar na kutua mwanza ikiwa na watu wapatao 43, na ikaondoka mwanza ikiwa na watu 43, kwenye uokoaji kuna watu 45
๐โโ๏ธ
Inamana hawa wawili wametokea wapi
๐๐๐
Hapo jua umeachwa
1. Nilikuwa naongea na mama
2. Kafanye tu nje nimekuruhusu
3. elewa utakavyojisikia & utakavyoona mi siwez kujieleza
4. Leo sijisikii vizur nalala mapema
5. Niko busy muda huu nikipata muda nitakupigia
6. Najuta kuwa na wewe
7. Usinipigie mpaka nitakapokupigia
Nikaonga mlango, mwana akatoka, nikamwambia aniangalizie flash juu ya Meza, akaangalia akasema haioni, nikamwambia kwenye droo pia kasema haioni, basi akasema ingia uje utafute mwenyewe
Oya si nikaingia gheto kwangu kuchek hivi kitandani,
Popcorn zipo au zimeisha ๐คฃ
Nikampa funguo mimi nikaenda zangu job, Sasa kufika saa 7 au 8 mchana nikakumbuka nimesahau flash home halafu ni ya muhimu inadocument muhimu saba.
Pale pale ni kachukua boda nikarudi home, kufika home nakuta ghetto mziki unaimba, nikajua mwana Yupo mzigoni, ๐
Ngojeni Leo niwape uzi kidogo wana ๐
Sema andaenj tu popcorn za kutosha ๐ฟ
Retweet kisha tuendele ๐
Shuka nayo ๐
Ebwana miaka kama miwili nyuma, nilikuwa nimepanga ghetto naishi kisela, Sasa kuna pisi moja kali sana nilikuwa naifukuzia, ikajaa king
๐
Saivi Couple Zinazodumu Ni Zile Mdada Amemzidi Umri Mkaka, Mfano Mzuri Ni Kusah Na Unt Ezekiel, Mama Dangote Na Uncle Shamte, Mwisho Kabisa Ni Harmonize Na Kajala! ๐๐ Izi Za Kwetu Boy kuzidi Miaka Miwili Ndio Yanatokea Yakina Masanja, Tafuta Lishangazi Mzee๐๐