Filamu hadi inakamilika inajumuisha mambo mengi sana mbali na picha jongefu, wengi mnadhani kupiga picha na kamera fulani maarufu ndio unaweza kupata Filamu nzuri. Filamu Ninavyoelewa mimi kitu kikubwa kuliko vyote kwenye Filamu ni "SOUND" kitu ambacho wengi mnakikimbia.