Mambo imechemka jana pale Timba XO hadi ikafika mahali, concerned parents tulifunikwa macho na leso na wale wasichana wa Kwaya ya Moto, after dancers wa Gen Z kuingia stage na kutuonesha maneno from nowhere without warning. Acha leo tuone itakuaje. Samis Ground Bakule!