EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
Rest in peace to all the brothers and sisters who lost their lives, actually they didn’t lose their lives their lives were taken. Their sacrifice and blood will not go unanswered and will not be in vain, eventually their courage will forever demand justice 🙏🏾
"....Tunawaomba marehemu wote waliopoteza maisha kipindi hiki cha uchaguzi mkuu, majeruhi na wote waliopoteza mali zao..."
Proud Catholic, we stand for truth and not nonsense. Viva TEC
DDG has now been granted approval to visit his son Halo in Italy on July 1st–3rd, but under these conditions:
– Visitation hours are 9 AM to 6 PM daily (Halle’s team originally proposed 12 PM to 6 PM)
– Supervised by Halle’s nanny and security
– Halle’s lawyer raised concern the nanny felt unsafe alone, prompting need for security
– No overnights allowed
– DDG can’t take Halo more than 3 miles from hotel
– Must stay near Halle’s hotel in Italy
– No social media posts of Halo by DDG
From June to September
On behalf of Walimwengu Foundation I’m here to present to you a New Charity Season. Will you join me????
If YES please comment, like, RT or QT and I will definitely reach out to you for your support.
We have 123Days left🙏🏾
Kuchelewa kuoa/kuolewa ni kujichelewesha kuwa na nidhamu ya maisha, ni kuchelewesha kujenga misingi bora ya familia, ni kulichelewesha taifa.
Tujenge familia mapema, tujenga taifa imara kimaadili,kijamii na kiuchumi.
Vijana oeni.
Leo Mama Kanisa anaadhimisha Dominika ya 3 ya Pasaka, mwaka C wa Kiliturujia katika Kanisa. Masomo ya dominika hii yanatutaka tuwe watii kwa Mungu katika kuiishi na kuishuhudia imani yetu kwa Kristo Mfufuka bila kuogopa mamlaka ya kidunia kwa maana ufufuko wake ni tunda la utii wake kwa Mungu Baba kwa Yeye kukubali kufa msalabani ili kutukomboa sisi.
Sehemu ya Injili inatueleza mambo makuu matatu: Yesu mfufuka kujidhihirisha kwa Mitume wakivua samaki; Yesu kuwaalika wanafunzi kufungua kinywa kwa kula samaki na mkate wa kuokwa, ishara ya Ekaristi Takatifu, na Yesu kumkabidhi Simoni Petro Kanisa lake kuwa mchungaji mkuu.Kristo alimpa Petro mamlaka ya kuliongoza Kanisa lake alilolianzisha Mwenyewe kwa kumpa madaraka na mamlaka kamili juu ya Kanisa. Mamlaka na madaraka haya anayapokea kila Baba mtakatifu, halifa wa mtume Petro anapochaguliwa kadiri ya mapokeo ya Kanisa.
Baada ya mfungo wa Kwaresima na Pasaka, tumeamua kuanza maisha mapya. Lakini matatizo bado yanaendelea, tusipokuwa na Imani katika ufufuko tunaweza kujikuta tumerudi tulikotoka.Sisi tukumbuke kuwa ingawa maisha ya ukristu yana mateso, lakini mwisho wake ni uzima wa milele. Kwa Ubatizo na kwa Kipaimara tumepokea kutoka kwa Roho Mtakatifu paji la uimara. Tutumie paji hili kuilinda imani yetu kwa Kristo mfufuka kwani anastahili yeye Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri, hekima na nguvu, heshima na utukufu. Baraka na heshima, utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, hata milele na milele.🙏
Ni muda gani unafaa kusali novena?
Novena zinatofautiana kuna novena kwa watakatifu mbali mbali na zipo zenye masharti kwamba inabidi usali muda flani lakini nyingi wewe unayesali ndio inabidi ujiamulie muda wa kusali. Ukisema unasali saa 2 usiku basi utasali muda huo huo siku 9