@EsirEid@Adv_innocent Walianza Liverpool kuwa inamashabiki wengi humu wakichukua epl hapatakalika ....kiko wapi ?
Wakafata Chelsea kuwa ina mashabiki Wengi wakichukua club world cup hapatakalika ....mbona tulika kaa ???
Sasa mnaanza kututisha mashabikj wa arsenal et hapatakalika ..haaa hii ni maajab
@MarekaMalili Hakuna mafanikio ya kundi la watu, mafanikio ni imani, kufeli sana, kutokukataa tamaa, na positive mindset......kundi la watu zaidi ya wawili hawawezi kumantain njia ya kwenda kwenye mafanikio.....sababu ni zaidi yakujitoa mhanga.....
@DizoFx Kama huwezi trade na $1000 maana yake Huna skills hata ukipewa $5000 hakuna kitu utafanya...tatizo sio mtaji ni skills issue ambazo zinahitaji experience, consistency na discipline ya Hali ya juu ...vijana mnataka shortcut ,game inahitaji muda sana na utulivu wa hali ya juu..๐คฃ
@tazamaMbali Swali linabaki kuwa pale pale je utajuaje kama kampuni itaendelea kufanya vzuri katika huduma zake na kutengeneza faida ili bei ya hisa zake zipande ?
Hata huko kwenye hisa ukiingia kichwa unapigwa za uso ,sababu bei inaweza kuporomoka kutokana na sababu mbali mbali za kiuchumi
@tazamaMbali Hisa unakuwa sehemu ya umiliki wa kampuni hio ...
Ukinunua hisa za crdb maana yake na wewe unakuwa sehemu ya umiliki wa kampuni ,so ikipata faida Kuna gawio utapata ,kama kampuni ikipata hasara na wewe uko kwenye loss sababu hisa zitashuka .....!! Kila kitu ni risk
@kasesco_tz -usitrade ,soma project,pata taarifa sahihi ...buy and hold
- take profit soko likipanda ..
- soma sana ..... discipline+consistency=win
Jipe muda ,pesa ya fasta ni scam .....mwisho wa siku lazima utawin
@kasesco_tz -Soma crypto,.
-ACHA kutrade future na leverage...
-Jichanganye discord ,telegram na tweeter kujua community na dev wakubwa wa crypto..
-acha kufanya technical na fundamental analysis deal na whales wanaopandisha soko (market maker )
- kuwa karibu na watu wa kubwa kwenye crypto
@gabyconscious Unasema nitoke hapa niende sehemu siijui then what ? Nilale nje sawa harafu ? ....
Ungeeleza story ulianzaje baada ya kufika kenya Huna kitu na humjui mtu mpaka kuwa na kitu ....
@gabyconscious Nyie ndio wale ...
"Nilianza na laki Saba saizi Nina duka la vifaaa vya ujenzi lenye thamani ya shilling million 300"
Lakin jinsi alivopush laki Saba mpaka kufika million 300 hawezi kukuambia hapo katikati.....story zinaruka ruka TU ๐คฃ
@gabyconscious Mtu pekee anaweza nambia kuhusu hisa nikakubali ni wamiliki wa kampuni halisi kama crdb ,nmb ,voda ....(Kujua za ndani )hao ndio wanajua mipango ya kampuni na namna inavoenda kuendeshwa hapo badae kuleta wateja na kutengeneza faida hatimae hisa kupanda ....wengine ni motivation