@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Hapa ni Kigamboni Kivukoni - Dar es salaam.
Kila siku hapa huwa panakuwa na nyomi lakin hakuna watu kumepoa.
Gen-z wameamua kusimamisha shughuli zote za nchi, wapiga Total shutdown 🙌
#77Tunatoka
Siku ya 7/7 ni siku ya MAANDAMANO ya kitaifa na mpaka sasa yamefanikiwa kwa asilimia 100%.
Nchi nzima ipo ndani kama UTUMBO. Hii ni siku ambayo WAKOLONI WEUSI wamekuwa wakiitumia kukusanya mapato makubwa ya KODI kupitia biashara za 7/7 ila mwaka huu watakula walikopeleka mboga.
HAKUNA SERIKALI BILA KODI ZA WANANCHI-WANANCHI WAMEAMUA KUTOKULIPA KODI SIKU YA LEO NA HIYO IMEKUWA.
MADAI YA WANANCHI YANAFAHAMIKA VYEMA.
#77Tunatoka
Ya Rabb, steer us away from what is unlawful, bless our rizq, and make us content with what You have provided.
Place immense blessings in our time and wealth.
O Allah, grant forgiveness to our parents, bestow Your mercy upon them just as they cared for us when we were little, and reward them with the highest gardens of Jannah.
🤲
There is an hour on Friday if a person asks Allah for something it will be granted.
Sa’at al Istijabah (a time when dua’s are answered) seek it in the last hour of Asr.
Making dua doesn’t cost you anything, very simple, yet a forgotten Sunnah.
“O Allah! I seek refuge in You from the decline of Your blessings, the removal of our state of well-being, the sudden onset of Your punishment and from all that displeases you”
Don’t Expect Jannah While Feeding Sin
Ibn Ḥibbān رحمه الله said:
"The worst type of delusion is when you expect Jannah's fruits yet you are planting Jahannam's seeds."
روضة العقلاء ونزهة الفضلاء | 283