Leo tumemtambulisha rasmi Kocha Selemani Matola kuwa Kocha mkuu wa timu zetu za vijana chini ya miaka 17 na 20
Pia tumemtambulisha Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programs za vijana za Simba
Kwanini Patrick na Matola, wawili hawa wana uzoefu mkubwa kwenye eneo hili la vijana, tunaaamini watafanya makubwa kama ambavyo walifanya hapo awali
Leo ni miaka miwili tangu tuondokewe na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Mwenyezi Mungu aendelee kumpa pumziko jema na aendelee kuwatia nguvu wanafamilia wote. Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kumuenzi kwa kuendeleza mazuri aliyoyaanzisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi na Wananchi baada ya kuzindua rasmi Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) katika hafla iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 19 Juni, 2022. @venusnyota
Ugomvi wa Rais na Spika huko ktk uchaguzi 2025 wa ndani ya CCM na sio maslahi ya Nchi.Watu wana shangilia kwa sababu Spika Ndugai anachukiwa na Jamii.Katika ugomvi huu,masilahi binafsi yana nguvu zaidi,ndio maana hata mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanazingatia vita ya Urais.