Ngoja niwaambieni kitu, na hii kitu ni halisi.
Uwekezaji wa Paper assets (Hisa, Hatifungani & Vipande) kwa mtu mwenye kipato cha kati na masikini, hauwezi kukutoa kamwe.
Yaani, utakupa tu confidence tu ya kusema mbele za watu, namiliki TCC, Vodacom, Swissport na ndani mwako umejaza vyeti vya umiliki ila bank yako, ukifika, teller anasoma jina lako anacheka moyoni.
Hamna kitu cha maana mtapata from UTT & the likes. Huu ni uwekezaji wa average people, average minds, average gains, little to no leverage.
Hizo bilioni mnazoziota, mtaziota sana pengine mpaka ujio wa pili wa Bwana Yesu.
J DILLA x BUSTA RHYMES 🚨
DILLAGENCE 2 💿
AUGUST 25TH.
Features:
• D’ANGELO
• LIL WAYNE
• BIG SEAN
• LUDACRIS
• COMMON
• JON BATISTE
• TALIB KWELI
• ANDERSON .PAAK
& More!