Leo tena familia yanguu mapambano yanaendeleaa bila kuchoka jana Arsenal alitia kitumbua mchanga 🚮 weka kodi ya nyumba utanishukuru badae👊,
NB:Beti kistaarabu hairusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18😂.
#BetNaDebrizy
Eti mniambie nimekosea wapi..
Huyu mpenzi wangu ni kiziwi halafu kuna muda ananiambia anasikia utamu,. Anasikiaje utamu na ni kiziwi!?.. nimemuacha sipendi uongo mimi🤒💔.