@hamis_abas@TouchlineX Kijana apa tunaongelea uwezo wa witz ...! Najua unaumia na dau lake🤣🤣🤣 ila ndio ivo pole sanaa
NB: wirtz ana namba na uwezo mkubwa kuzid mzululaji odegad😀
@hamis_abas@TouchlineX Ntandelea kukusisitiza mpira auchezwi jinsi ww unataka! Mpira unataka numbers no matter gem kubwa au ndogo!
Nb: Gem ya jana na holland ni ndogo??
Judge for reason 😆