@Kiganyi_ Kuna sauti ya chini kabisa hapo ya MTU mzima (mbibi) inasikika ikisema "Ramadhan hii, msifanye hivyo, Ramadhan hii".
Hii imeniumiza sana kwa kweli @gwajima
@max_zitatu Binafsi, huwa nakuelewa sana mwamba, Kuna elimu huwa unaitoa, kwa wasomaji huwa ni vya kawaida sana, lakini vina maana kubwa sana kwenye maisha ya kila siku.
@Phbhimself Napenda uandishi, napenda kuandika, napenda kusoma, napenda watu wanaoandika vizuri maandiko yao.
Nawe kaka yetu @Phbhimself ni kati ya mwandishi mzuri unayeitendea haki kalamu yako.
Navutiwa na kila unachoandika hapa kilingeni.
@Adventure_36 Anko kiukweli yule jamaa ni mwamba sana kama akiamua kusimamia carrier yake ipasavyo.
Ila kwa maoni yangu ana viuswahili flan hivi ambavyo vinamuangusha.
Niko tayari kusahihishwa ankoo.