Mtu yeyote ambaye anasema mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya siyo watumishi wa umma katika jamhuri ya muungano wa Tanzania lazima atakuwa na ubongo ambao umekosa virutubisho. Mtu huyo ana tatizo la afya ya akili.
George Sanga na wenzake watatu walikamatwa 26.09.2020 kwa tuhuma za mauaji ya kada wa CCM, Emmanuel Mlelwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa udiwani, ubunge na Urais, Njombe Mjini.
Hadi leo, George Sanga na watuhumiwa wenzake watatu wamefikisha siku 1,284 gerezani wakiwa hawajahukumiwa na mahakama yoyote ya Tanzania. Wamehamishwa magereza kadhaa hadi sasa.
Kesi hii ilifunguliwa wakati Mkurugenzi wa Mashtaka akiwa Biswalo Eutropius Kachele Mganga (ambaye sasa ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania). Mnamkumbuka? DPP wa mambo ya ‘plea bargain’
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mashtaka, imewataja watu hao kuwa ni Thadei Walter Mwanyika, George Sanga, Optatus Nkwera na Goodluck Oygen Mfuse.
Washtakiwa hao ni; Thadei Walter Mwanyika (alikuwa mgombea udiwani kata ya Utalingolo, Njombe), George Sanga (alikuwa Katibu wa CHADEMA Njombe Mjini na mgombea udiwani - Ramadhan, Njombe)
Optatus Nkwera (alikuwa ni katibu mwenezi CHADEMA Kata ya Ramadhani - aliyokuwa mgombea George Sanga), na Goodluck Oygen Mfuse (mwananchi wa kawaida mkazi wa Njombe Mjini).
12.02.2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliwasilisha mahakamani hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo ya George Sanga na wenzake watatu na wakaachiwa huru na Mahakama Kuu.
Jeshi la Polisi Iringa likawakamata tena na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) akawafungulia upya mashtaka yale yale ambayo aliyaondoa mahakamani kwamba hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Kesi hii ya George Sanga imekuwa ikipigwa kalenda na danadana nyingi sana upande wao. Haipangiwi tarehe na siku ya kusikilizwa na ikipangwa inahairishwa kwa sababu zisizo na msingi wowote.
Kesi ikapangwa kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa mfululizo. Ikapangiwa tarehe 04.03.2024. Leo hito siku imefika, Mahakama Kuu kanda ya Iringa imeahirisha tena kusikiliza kesi hiyo.
Kesi hiyo ya Jamhuri dhidi ya George Sanga na wenzake watatu imehairishwa Mahakama Kuu leo 04.03.2024 hadi hapo itakapo pangiwa tarehe nyingine ya kusikilizwa. Inasikitisha na kushangaza.
George Sanga amekuwa diwani katanya Ramadhan, Njombe na amekuwa mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA mkoa wa Njombe hadi anakamatwa. Hili ni shambulio letu sote wanachama wa CHADEMA.
Baada ya kukamatwa, George Sanga na wwnzake watatu wameteswa sana, wamepigwa sana na kuumizwa sana ili wakiri kuhusika na mauaji ya kada huyo wa CCM. Walisaini maelezo ya onyo kwa kipigo.
Pamoja na yote hayo, bado kesi ya George Sanga na wenzake inaendelea kupigwa danadana tu. Tunauliza, serikali kama hamuwezi kuthibitisha tuhuma mlizotunga wenyewe, kwanini msiwaachie huru?
Moja kati ya masharti muhimu na makubwa ya CHADEMA katika meza ya maridhiano ilikuwa ni suala la ‘lazima’ watu wetu wote waliokamatwa kwa sababu zozote zile za ‘kiuchaguzi’ waachiwe huru haraka.
Kuhusu kesi ya George Sanga na wenzake tukaelezwa na serikali katika maridhiano yale kwamba ushahidi wa kesi yao upo kamili na mahakama itaamua hivyo kesi yao isiondolewe mahakamani. Tukakubali.
Hizi danadana za kazi gani? Kama ushahidi umekamilika, kwanini waendesha mashtaka wanazunguka tu? Ni wazi hawana ushahidi wa mashtaka yao. Muachieni huru George na wenzake.
Nasisitiza, kama upande wa Jamhuri mmeshindwa kabisa kuthibitisha tuhuma zenu dhidi ya washtakiwa hawa, waachieni huru. Ondoeni kesi mahakamani haraka sana. Ni siku 1,284 mnambwela-mbwela tu.
NB; picha ya kulia ni kada wa CCM, Emmanuel Polycup Mlelwa anayetajwa kuuwawa na George Sanga na wenzake kwa kunyongwa hadi kufa baada kutekwa 20.09.2020 wilaya na mkoa wa Njombe.
Brigedia Mtikila, MMM.
Ndugu zangu jamii ya Maasai, bado mnao utata kuhusu propaganda za Christopher Ole Sendeka? Kwa kauli hii maana yake anawafahamu waliomshambulia, kwanini hadi sasa polisi hawajakamata mtuhumiwa hata mmoja? Ole Sendeka aache utapeli, atueleze kwanini alipiga gari yake risasi?
Akili za kijinga ndiyo ziliamua kuwa watanzania sasa watapaswa kusajili makundi yote ya WhatsApp kwa Sh.200,000, kwa mujibu wa kifungu cha 40 cha sheria Na. 3 ya 2019. Usajili umeanza jana Dar es Salaam katika ofisi za wilaya. Naamini, watanzania wataelewa serikali ni bladifakeni
. @dawasatz mnaweza kutueleza kwa utaratibu maalum; kwanini wakazi wa Dar es Salaam tunapitishwa kwenye mgao mkali wa maji wakati mvua nyingi zinanyesha hadi kwenye vyanzo vya maji ya DAWASA? Yaani kwanini MMM kwangu kuna mgao? Sababu ni nini? Wiki nzima sijawahi kuona maji.
Serikali, hizo TOZO za WhatsApp ni UTAPELI.
Usajili wa (WhatsApp group) ambao umeanza jana Dar es Saalam ni suala la kijinga kati ya masuala mengi ya kijinga yanayofanywa na serikali ya CCM.
Msajili wa Jumuiya za Kiraia anasema usiposajili WhatsApp Group utakuwa unatenda kosa la jinai na utashtakiwa. Hizi ni tabia za viumbe WASHAMBA.
WAHUNI katika SERIKALI wameamua kusajili makundi yote yaliyopo WhatsApp. Wavuvi, wafugaji, VICOBA, familiia, ukoo, madereva, bajaji, bodaboda,
Makundi ya kufa na kuzikana pia ndani. Makundi ya wacheza ngoma za utamaduni, wahitimu wa shule au vyuo ya elimu juu na stadi za kiufundi nao ndani.
Msajili anasema ofisi yake imesajili kundi la WhatsApp la wanajeshi waliopigana vita ya pili ya Dunia, na kundi hilo huwakutanisha pamoja MASOJA.
Msajili anasema umuhimu wa kusajili makundi hayo ni kuongeza tija na ufanisi kwa wizara za kisekta kuwafikia na kuwapatia mafunzo inapohitajika.
Katika nchi ambayo wananchi wake wanasumbuliwa na matatizo mengi mazito bado kuna ‘wapumbavu’ katika serikali ya CCM wanafikiri kipuuzi-puuzi tu.
Nchi haina umeme wa uhakika, mvua ni nyingi lakini maji ya mgao, hayapo, barabara hazipitiki, serikali inafikiria suluhisho ni kuleta tozo ta WhatsApp.
Ni UTAPELI kutoza kodi katika kitu ambacho hujatengeneza au hutumii gharama kuendesha kama huduma. WhatsApp siyo mali ya CCM. WAPUUZI.
WhatsApp siyo huduma ya serikali. Hata hilo bundle mtumiaji analinunua kwa gharama kubwa, anaibiwa na tozo nyingi. Bado mnaleta tozo za WhatsApp?
Ni mtu MPUMBAVU ndiye anaweza kuketi na kutengeneza sheria ya KIJINGA kama hii kwamba watumiaji makundi ya WhatsApp walipe LAKI MBILI.
Bahati mbaya watanzania ni WAJINGA na hawafuatilii masuala. Sheria Na. 3 ya mwaka 2019 imetengenezwa wakati wa utawala wa Dikteta Magufuli.
Written Laws (Miscellaneous Amendments)(No.3) Act, 2019 ulipendekeza marekebisho katika sheria nane ikiwepo Sheria ya vyama ya kijamii 2019.
Sheria ya Jumuiya (The Societies Act, 2019 (CAP. 337)) haikutaja makundi ya WhatsApp yasajiliwe. Msajili wa Jumuiya za Kiraia anajiongoza vibaya.
Lakini marekebisho hayo katika kifungu cha 40 anachorejea Msajili wa Jumuiya za Kiraia yalieleza kuhusu “Registration of Association”.
Kwamba Jumuiya (association) haitafanya kazi kama jamii (society) kwa maana ya Sheria hii, isipokuwa ikiwa imesajiliwa na msajili wa sheria hii.
Kifungu cha 40 ambacho msajili wa jumuiya za kiraia amekifanyia rejea kimefanyiwa marekebisho mwaka 2019. Hizi ni tabia za madikteta UCHWARA.
Lakini utekelezaji wake unafanywa sasa na serikali KATILI na DHAIFU ya SAMIA. Sielewi wanaogopa nini hadi kwenye makundi ya familia na ukoo. HOVYO!
Kwamba serikali ya SAMIA inataka kodi kwenye mijadala ya familia yetu tunapokusanyika kujadili ujenzi wa makaburi ya familia? Mambo ya KIJINGA.
Tukubaliane, SERIKALI hii ya CCM imepoteza uwezo wa kuongoza sasa inakwenda kwa mazoea tu. Ni kama nchi ipo kwenye AUTOPILOT mode muda wote.
Mimi siyo admin wa kundi lolote la WhatsApp, lakini nipo katika makundi zaidi ya 210. Serikali hii ya CCM itakusanya TZS 42,000,000 bila kazi. UJAMBAZI.
Kwa makundi ELFU TANO pekee watakusanya TZS 1,000,000,000 ambazo watazichukua kwenda kuhonga MALAYA wao na kugawa katika chaguzi.
Hawa siyo watu waungwana. Hatupaswi kuwachekea. Kuna siku watawaletea hadi kodi za kutembea barabarani. Hatujachelewa. TUWAKATAE WAHUNI.
NB; siwezi kufungwa gerezani kwa sheria ya KIJINGA hivi. Je, wewe mwenzangu? Usikubali kuelezwa jambo la KIPUMBAVU na ukakubali. Kataa sheria za KIHUNI.
Martin Maranja Masese, MMM.
1. Ukimtongoza akakukatalia, usimzingue na kumzushia uongo. Siyo lazima kukubaliwa naye.
2. Mcheki mara moja. Mara ya pili. Hataki kujibu. Achana naye. Usimsumbue. Hamisha kambi.
3. Usijishushe kiwango cha mwisho. Hataki kuongea, achana naye. Usifosi. Siyo mama yako huyo bablai
OFA! Wafanyabiashara Twitter (X) ni fursa nawapa leo. Tangaza biashara (halali) kwenye reply (bure). Weka picha ya bidhaa, mawasiliano na mahali ilipo. Anayetafuta kazi/ajira weka sifa zako au tangaza kazi zilizopo katika kampuni/ofisi yako. Let’s go! 👊🏾#getyourbusinessnoticed
Baada ya ABC kumfuata New Force Tunduma na EFS zake sasa New Force kaamua na yeye kumfuata ABC Mafinga na EFX zake.
Hii ndo ile inaitwa ukimwaga mboga sisi hatumwagi ugali, tunaondoka nao tunakwenda kuumanga hivyo hivyo.
Hii vita mwenye chuma nyingi kali anakwenda kuishinda kweupe kabisa. Ni nani? Hata mimi sijui. Ngoja waoneshane makali sasa😂😂🙌
Zanzibar. Kitu wanaweza ni kukamata wanaokula mchana wakati wa mfungo. Mashoga karibu buku dasi. Pameozaaa.. watu 3,330 wanapigwa fingerprint.. mwendo wa pattern tu. 😂
Premier kaona avute Tong alitupe Mwanza - Mbeya, sasa jidanganye kwamba hilo ni Tong uone unavyopasuka😅.
Humo kwenye hilo Tong kila kitu kimoja kimoja kimetokea sehemu kinajua chenyewe yaani zaidi ya zile za KLM😅😅