Dhambi kubwa 7 zinazotuangamiza vijana;
Pride / Kiburi
Lust / Tamaa ya ngono iliyopitiliza
Greed / Tamaa mbaya ya mali
Envy / Wivu mbaya
Wrath / Hasira kali
Gluttony / Ulafi na Kutokuwa na kiasi
Sloth / Uvivu wa kiroho na maadili.
Amka saa nane za usiku kwa siku saba mfululizo, kisha usali sala hii kwa imani. Mwombe Mungu avunje kila kikwazo, afungue milango iliyofungwa, aondoe kila kinachozuia maendeleo yako, na akupe kibali mbele zake na mbele za watu katika kila jambo unalolifanya:
Ee Mungu Mwenyezi, ninakuja mbele zako kwa jina la Yesu Kristo. Naomba uvunje kila kifungo, uondoe kila kikwazo, na ufungue kila mlango uliofungwa katika maisha yangu. Niongoze katika njia zako, unipe hekima, nguvu, na neema ya kushinda kila changamoto. Nibariki kazi za mikono yangu, unipe kibali katika kazi, biashara, masomo na mahali popote nitakapokwenda. Uniongoze kwenye mapenzi yako, na mapenzi yako yatimizwe katika maisha yangu. Naamini hakuna lisilowezekana kwako. Amina.
Isaya 45:2
"Nami nitakutangulia, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja milango ya shaba, na kuzikata-kata mapingo ya chuma."
Kuna Life Style flani inaleta amani sana kuishi
maisha yako huna taarifa za watu,na watu hawana
taarifa zako na hata wakiwa nazo you don't care,
Hela Kidogo tu ya kula wali maharage umeridhika,
uko busy na ndoto zako kuzitimiza tu,hauna
marafiki wapuuzi,unaishi maisha yako 🥂.
Denzel Washington was right, always be thankful for the bad things in life. They open your eyes to see the good things you weren't paying attention to before.
NILITAPELIWA KIWANJA MBEYA 2025
Lakini Leo nimekaa usiku nikajiuliza natumiaje hizi AI, kuspot viwanja vikali, Bei rahisi na vyenye hati kupitia TAUSI PORTAL
Nimetumia AI (Claude, chatGPT)
Chatgpt imeniandikia Kila kitu kuhusu KIWANJA BORA, miradi inayokizunguka.
Nilieka budget isizidi Laki 8 ila kiwanja kina potential ya Kukua value baada ya miaka 5-10
Halafu nimeConnect na Apify, webscrappers kadhaa
Ko nikiwa na hela nakuja kwa hii TAB tu naiuliza Viwanja gani potential leo inanipa PDF detailed ya kila kitu
🙌🏽
RESULTS ni INSANE MAMYAKE🙌🏽🙌🏽
Step-by-step video itapanda Youtube I think Jumatatu🫶🏾
I recommend using absence to gain your respect back.
I recommend giving a girl your number instead of asking for hers. If she likes you, she will text you.
I recommend building your body, especially your shoulders. You'd be surprised how much more attractive you look with a better frame.
I recommend putting people in their place at the very first sign of disrespect.
I recommend not chasing people. Pay attention to who chooses you.
I recommend leaving rooms where you constantly have to prove your worth.
I recommend being honest from the beginning. Pretending is exhausting.
I recommend saving money before people know you're making money.
I recommend letting people underestimate you.
I recommend taking pictures and videos of your parents more often.
Kuna ile hali ambayo una mshahara wa laki 800,000 lakini ndoto zako zina thamani ya milioni 500.
Nyumba unayotaka ni milioni 120.
Biashara unayotaka ni milioni 50.
Gari unalotaka ni milioni 55.
Hiyo ni kawaida ukiwa kijana wa Tamisemi .
Siku kama ya LEO 24.06.2024 ndio mwanangu alianza kunisaka mtaa kwa mtaa, mitandaoni kushirikiana na watanzania bila kuchoka.
Familia ilibidi isafiri kutoka MBEYA kuja Kuweka kambi Dar kwaajili ya misako ya usiku na mchana, bila kusahau maombi ya KUFUNGA NA KUOMBA kwa pamoja.
Wazazi na watanzania mlijua kunipambania, leo ni miaka miwili na haya yote yapo bado kichwani mwangu na sitamani yajirudie, ndiomaana nakuwa mkali sana kuhusi UTEKAJI maana najua familia zinateseka kwa kiasi gani.
Leo vijana tumeamua kufanya hili dogo kwa wazazi, kama kuwapa FARAJA za mapambano yote waliyoyafanya kwetu.
Zamani hizi zilikuwa NDOTO, leo ni maisha ya kweli tunayoyaishi—ASANTE MUNGU hata kwa hii nafasi.
S/o kwa mwanangu JAMES (Taivina) kwa kuendelea kuwepo kwenye maisha yangu, wewe ni tafsiri ya NDUGU.
TUISHI.🫡