Mimi huwa nasemaga kama una Rafiki ambaye simu moja tu ukiwa na shida basi mtunze kwakuto muomba omba pesa iwe unaomba tu pale unapokuwa na shida ya muhimu zaidi, sio umeishiwa vocha tu simu, sijui nini simu kuna siku utakuwa na shida ya muhimu zaidi utakosa msaada.๐
Ukiwa na tamaa kwa haraka haraka tena kwa jinsia ya kike lazima utafanya expose vitu vyako muhimu. Yaan kupigwa kutafata tena nje nje..
Mseme wa kiswahili tamaa mbele mauti nyuma๐
Kufungua madai(Lodge Claim) watumishi wanakuomba chochote kitu ili upate msaada. Tofauti na hapo na kama hauna uelewa mzuri juu ya portal yao utajazo madudu plus kukosea mwisho unaonekana msumbufu๐
Wakati Mungu anaumba binadamu aliumba mwanaume kwanza kwa mfano wake, anaumba a fellow King.
Dear men, you have a natural potential of greatness inside you.
Unlock it.
MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.
A police statement said: โThe ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.โ
Issue sio shule yaan kusoma sana, privacy na confidentiality ni muhimu kwa mteja. Labda kama ataruhusu mwenyewe siri itolewe kwa mtu mwingine.
Kuna tofauti gani hapa kwa hii scenario, yaan inambeba mbunge? Au Afisa.
Maoni yangu Afisa amekaa KiProfessional sana.
Hata Jezi Ziwe Nzuri Vipi Hatuna Mpira wa Kushindana Kuchallenge AFCON, ni Siasa tu Imetawala! Mpira wa Tanzania Unahitaji Vitu Vingi Sana Zaidi ya Jezi.
Imagine,
Huu uwezo tulionao kwenye biashara na kujituma kuanzisha biashara.
Kuna wemgine wanafanikiwa na wengine tunapambana kuwa bora zaidi.
Na hapaa Mfumo wetu wa elimu Umetufundisha Theory sana na kutuandaa kwa kuajiliwa zaidi.
Sasa KAMA tungesomeshwa na kipewa mafunzo ya Kujiajiri Kwanzia kwenye Udogo wetu tungefanya vizuri zaidi.
Tuanze Kuwapa Elimu watoto wetu kuendana na mahitaji ya Dunia na Mazingira yetu.
Huyu mzee scene zake kali sana na inavoonesha pande zote mbili zinamuhitaji sana, yaan Askari Isaiah na mtaalamu Coltrane.
Maana yupo na picha pana sana pale Los Angeles hasa upande ma magenge hatari.
Nightmare Stiles ndani ya Nemesis.