"Iko hatua ya mafanikio katika maisha ambayo inataka uwe mnyenyekevu ili uweze kuiishi. Ikitokea umeifikia kabla hujafaulu mtihani wa unyenyekevu, maisha yatatafuta namna ya kukunyenyekeza yenyewe. Na njia moja ya maisha kukunyenyekeza ni kwa kukupokonya hicho ulichonacho."
ROMANO PAY 💳✅
🔹️Trusted & Verified #1XBET Agent ⚡🔒
🔹️Fast Deposits & Fast Withdrawals.💸🚀
🔹️The Best #1XBET Agent in the World 🌍💙🔥
🔹️CALL 📞 +255782775570
🔹️Whatsapp 📥 +255769049849
Reach us on X via ⤵️
@1xbetcashwakala@AirRomano
"Uhusiano wa pesa na wapambe ni kama uhusiano wa sukari na sisimizi. Wewe mwaga sukari tu utashangaa wanatokea wapi. Vivyo hivyo ukipata pesa, utashangaa ghafla unapata washauri wazuri wa matanuzi ya pesa yako." ~Togolani Mavura.
"Atakayekufaa kesho si lazima awe nacho cha kukufaa leo. Yule atakayekuwa wa msaada kwako baadae wakati mwingine huja kwako kama mhitaji wa leo." ~Togolani Mavura.
New price🚨‼️
iPhone 17
256Gb-2,150,000
iPhone 17 Air
256Gb-2,500,000
iPhone 17 Pro
256Gb-3,200,000
512Gb-3,800,000
iPhone 17 Pro Max
256Gb-3,300,000
512Gb-4,000,000
E-sim only
Non-Active with two yrs warranty
☎️0652795468
🚨 TAARIFA MUHIMU KWA WATEJA WOTE WA ROMANO PAY!
Tunapokaribia kuanza kwa misimu mikubwa ya ligi duniani, tunawakumbusha wateja wetu wote kufuata utaratibu sahihi wa kuweka na kutoa fedha.
✅ Ukiweka pesa kupitia wakala wa 1xBet, hakikisha unatoa kupitia wakala huyo huyo.
✅ Epuka kubadilisha mawakala katikati ya muamala ili kuepusha usumbufu usio wa lazima.
ROMANO PAY haitahusika na usumbufu wowote utakaojisababishia kwa kutofuata utaratibu huu.
Tafadhali soma taarifa iliyo kwenye picha kwa makini na uizingatie kila unapofanya miamala yako.
Asante kwa kuendelea kutuamini. 🤝
Romano Pay | Trusted & Verified Agent