This is so INSPIRING! 🔥 Take this message to heart as you start your day. 🙏❤️
Never let where you are today make you forget where you could be tomorrow. 💯
Always remember: YOUR BEGINNING DOES NOT DETERMINE YOUR ENDING. ✨
Tukijifunza kuangalia mangapi yapo sawa vs mangapi hayajakaa vizuri, nadhani Kila mahusiano iwe ya kirafiki, mapenzi au undugu yana better chance.
The moment you allow negative energy to dominate, hiyo imeenda.
Tupe experience yako, Jambo gani la hovyo ulishawahi kufanya sababu ya mapenzi!
Mimi nilishawahi kutoka saa sita usiku kwenda kumkiss babe, tena njia inapita makaburini, sijui ujasiri nilikua natoa wapi 😆😆.
Mungu akubariki, akustawishe na akupe sababu nyingi za kufurahi.
Na katika maeneo ambayo umekuwa ukiomba kimya kimya, naomba upokee majibu yanayolingana na mapenzi yake. Amina. 🙏❤️
Leo ninakuombea kwamba Mungu akufanyie mema kama ambavyo umekuwa ukifanya mema kwa wengine. Pale unapohitaji nguvu, akupe nguvu,pale unapohitaji majibu, akupe mwongozo,na pale unapohitaji faraja, akujaze amani moyoni mwako.
Imagine umeoa na una maisha mazuri tuu but no children yet.
Bahati mbaya unafariki ghafla.
After few months Wife anaamua ku move on.
Anakamata kiben 10 bwana, kinamkoleza kinahamia na kwako 😂 na suti zako kinavaa.
Kwakweli siwezi ku rest in peace 😂😂 ntawatokea ndotoni mimi.
Hizi showoffs, fake life and standards za mitandao ya kijamii zina madhara sana, kama hazikuletei frustrations mwenyewe binafsi, jua kuna kundi la vijana wadogo wa kike na kiume zinawafanya waimagine maisha yao kwa kukuangalia wewe.
Tupunguze, hazina afya.
Kwenye situations ambazo zinapeta stress and depression kila mtu ana namna yake ya kuhandle haya mambo.
Wengine wanachagua escape routes na kupata addiction, wengine wana speak out, wengine wanakwepa watu.
Ndio maana I never judge people, Maisha yana mengi ya siri.
Sio kwenye uongozi tuu, hata maisha ya kawaida at least uwe na watu ambao wanakupa ukweli black and white, whether u love it or not.
Kwenye personal/ character development, watu wa namna hii ni muhimu kuliko wale wa praise and worship na chawa.
Ni rahisi kuwapenda watu wanaotupenda.
Ni rahisi kuwaheshimu wanaotuheshimu. Lakini tunafanyaje tunapokutana na watu wanaotuchukia, wanaotusema vibaya au wanaotamani tushindwe?
Vipimo hivi uwa vizito sana 🤭
Kujisahihisha si kuanza upya, bali ni kujiepusha na uharibifu ambao ungeweza kuepukika.
Wakati mwingine, huhitaji kubomoa kila kitu ulichojenga ili kubadilisha mwelekeo,Unahitaji tu kutambua kilichoenda vibaya na kurekebisha mwenendo wako.