Makamo Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Komredi Abdulrahman Omary Kinana akisaini Kitabu cha Maombolezo katika Makazi ya Balozi wa @UKinTanzania Mhe. @DConcar leo, kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II hapo Septemba 08, 2022.
Vyombo vya habari nchini Uingereza vinaripoti kwamba mpango wa Urusi kutuma majasusi kumuua Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy umefutwa, baada ya baadhi ya maafisa wa Shirika la Ujasusi la Urusi (FSB) wasiotaka vita na Ukraine, kuukataa. ๐ธ Mtandao
Namshukuru mwenyezi mungu kwa kunilinda na kuniwezesha kufikia siku ya leo ,pia natoa shukrani kwa mama yangu kwani naamini siku Kama hii alihangaika Sana ili kufanishisha kuniweka katika hii dunia.nazidi kumuomba mungu anijalie unyenyekevu ,utii na uadilifu