@VodacomTanzania@hendihisham @TCRA_Tz Mnaiba hela za kupitia vifurushi vya data, jana nmejiunga GB 2 yote mmekata ndani ya masaa 24,, leo tena nmejiunga GB 2 ndani ya dakika kumi zmebaki GB1.2 bila hata kutumia! Kuweni serious mnaiba hela ya serikali hiyo