@kaka_puti@kangolakid@EduTalkTz Ata tisha sana, binafs mwanangu namtaka baada ya saa 7 mchana arudi nyumbani , aweze kujifunza mambo mengine ya kitabia, maadili na uwajibikakaji, sio kuniimbia nyimbo za kingereza afu nianze kujisifua ujinga
@kangolakid@EduTalkTz Upo sahihi kwa kiasi flani, sasa fikiria mtoto ndani ya masaa 15 anayo kua macho wewe unakuanae kwa masaa 2 au 3 , yalo baki yupo chini ya uangalizi wa waalimu, Sasa swali ni je kati ya wewe na mwalimu nani ana mlea mwanao?
@kangolakid@EduTalkTz Umeongea vizuri, malezi ndio tatizo kwass malez si ya mzazi, ni ya serikali hususani taasisi za elimu , vuta picha mtt ana toka nyumbani asubuh ya saa 12 na ana rudi usiku wa saa 1 akiwa hoi , ana kula na kull , na ni siku 6 ktk wik je unaona nafas ya mzaz katika kumjenga mtoto?