STARLETS YAREJEA NYUMBANI
Starlets iliishinda Lesotho mabao 6-0
Kenya inajiaandaa kwa mechi za AWCON 2026
Kenya imeorodheshwa kundini A Pamoja na Morocco, Senegal, na Algeria
#KBCniYetu@iLemoka
Today i announce my retirement from football, Four different countries six different clubs, A boy from Muthurwa with a big dream, carrying a Nations pride everytime i stepped onto the pitch. To my family, friends, agent, the fans and the coaching staff that helped me throughout
MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA FKF
Kariobangi Sharks 1-1 Mathare United
Murang'a Seal FC 2-3 Bandari FC
Nairobi United FC 3-0 Bidco United
Shabana FC 1-0 Tusker FC
#DiraYaMagiji@iLemoka
GOFU-MAGICAL KENYA OPEN
Casey Jarvis wa Afrika Kusini anaongaza baada ya raundi ya tatu
Alijiungwa kileleni na Angel Ayora
Mashindano hayo yatamailizika kesho
#DiraYaMagwiji@iLemoka
KIKOSI CHA MUDA CHA STARLETS CHATAJWA
Kocha Beldine Odemba akitaja kikosi cha wachezaji 34
Harambee Starlets kushiriki mechi za AWCON 2026
Harambee Starlets kuingia kambini jumapili
#Darubini@iLemoka
MICHEZO YA MASTERS-ABU DHABI
Michezo ilianza rasmi leo Asubuhi huko Abu Dhabi
Gustomyasov Ligor alimaliza wa kwanza katika shindano la kuogelea kwa maji ya wazi ya kilomita 5
Ligor alitumia mud awa saa 1 dakika 00 na sekunde 51
#KBCniYetu@iLemoka
FKF ‘MASHEMEJI DERBY’
AFC Leopards yailemea Gor Mahia uwanjani Nyayo
Gor Mahia yakosa nafasi ya kuchupa kileleni pa ligi kuu
Leopards yachupa hadi nafasi ya 6 kwenye jedwali
#DarubiniWikendi@iLemoka
MASHINDANO YA RIADHA DUNIANI
Riadha Kenya yataja timu itakayowakilisha Kenya jijini Tokyo
Wanariadha 64 wametajwa kushiriki mashindano hayo
#Darubini ^RW
@iLemoka
MBIO ZA RIADHA ZA AFRIKA-UMRI CHINI YA MIAKA 18/20
Timu ya taifa yarejea kutoka Nigeria
Kenya ilinyakua jumla ya nishani 34, 13 za dhahabu, 12 za fedha 9 za shaba
#Darubini ^RW
@iLemoka
CHAN 2024:
@iLemoka azungumza anaye Waziri wa Michezo Salim Mvurya kuhusu kiwango cha maandalizi na hali viwanja vitakavyotumika wakati wa kombe la CHAN 2024.
#KBCniYetu ^SM
📸 @smayira
Waziri Salim Mvurya: Nataka kuwahakikishia Wakenya kwamba hatua zote zilizohitajika tumekamilisha, na sasa tuko katika hatua za mwisho kuhakikisha tuna maandalizi ya kihistoria ya mashindano ya CHAN.
#KBCniYetu ^MM
@iLemoka
Waziri Salim Mvurya: Uwanja wa Kasarani umepata maboresho makubwa na sasa unakidhi viwango vya CAF. Tumeimarisha usalama kwa kutumia CCTV na kutoa mafunzo kwa maafisa wa usalama. Uwanja wa Nyayo umewekewa ukuta mpya kwa sababu tunatarajia mashabiki wengi wakati wa CHAN.
#KBCniYetu ^MM
@iLemoka
Waziri Salim Mvurya: Ujenzi wa Talanta City Stadium umefikia takriban asilimia 48. Tunafanya ukaguzi wa mara kwa mara na hatuna shaka kwamba itakamilika ifikapo Disemba. Tunatarajia mashabiki 60,000.
#KBCniYetu ^MM
@iLemoka
Waziri Salim Mvurya: Tunataka kuona timu yetu ya Harambee Stars ikifika fainali hapa nyumbani. Kuwashabikia kutakuwa muhimu sana kwa sababu mechi zote za Harambee Stars zitachezwa katika uwanja wa Kasarani.
#KBCniYetu ^MM
@iLemoka
"Serikali ya Kenya imelipa 'hosting fee' ya shilingi bilioni 1.6 ili kuweza kuingia katika makubaliano rasmi na CAF ya kuandaa michuano hiyo," Waziri Salim Mvurya azungumzia gharama ya maandalizi ya Michuano ya CHAN.
#KBCniYetu ^MM
@iLemoka
Tumekubaliana hapa nyumbani sekta ya kibinafsi ishiriki kikamilifu katika majukumu kama kufadhili CHAN. Alhamisi hii tutawajulisha zaidi - Waziri wa Michezo Salim Mvurya.
#KBCniYetu ^MM
@iLemoka