BAJETI YA 2026/2027 YAFUNGUA FURSA MPYA!
Kupitia maboresho ya kodi na tozo, Serikali imeweka mazingira bora zaidi kwa wafanyabiashara, wawekezaji, vijana na wananchi kwa ujumla. Hatua hizi zinalenga kukuza uchumi, kuongeza ushindani wa biashara na kupunguza gharama za maisha. Huu ni mwendelezo wa dhamira ya kujenga Tanzania yenye uchumi imara na fursa kwa wote. πΉπΏπβ¨
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni, 2026.
NUKUU ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BENKI KUU YA TANZANIA, DAR ES SALAAM
Benki zijitahidi kuwa bunifu kusudi ziwe rafiki kwa wananchi, wananchi waone benki kuwa ni kimbilio pekee kwao katika kukuza mitaji na biashara" Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan #SautiYaWatanzania
#TumeYaUchunguziReport
Ripoti Ya Tume
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni, 2026.
Hatua hizi zinaweza kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira na kuimarisha ushindani wa Tanzania.
Kwa wanaharakati uchwara na wacheza Chudai, badala ya kupinga kila jambo bila hoja, ni vyema kutathmini sera kwa matokeo yake na kutoa mjadala wenye kujenga kwa maslahi ya Taifa.
Misamaha ya kodi na tozo katika bajeti ya serikali kuu 2026/2027 ni hatua muhimu za kupunguza mzigo wa kodi na tozo, kuvutia uwekezaji, kuzalisha ajira na kuimarisha ushindani wa uchumi.
Misamaha ya kodi na tozo katika bajeti ya serikali kuu 2026/2027 ni hatua muhimu za kupunguza mzigo wa kodi na tozo, kuvutia uwekezaji, kuzalisha ajira na kuimarisha ushindani wa uchumi.
Kupitia misamaha ya kodi na tozo katika bajeti ya Serikali Kuu 2026/2027, Serikali inalenga kupunguza gharama za uendeshaji kwa sekta binafsi, kuongeza uwekezaji, kukuza ajira, na kuimarisha nafasi ya Tanzania katika soko la kimataifa.
Kupitia misamaha ya kodi na tozo katika bajeti ya Serikali Kuu 2026/2027, Serikali inalenga kupunguza gharama za uendeshaji kwa sekta binafsi, kuongeza uwekezaji, kukuza ajira, na kuimarisha nafasi ya Tanzania katika soko la kimataifa.
AHUENI YA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA YAZIDI KUONGEZEKA!
Serikali kupitia Bajeti ya 2026/2027 imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuboresha mazingira ya biashara, uwekezaji na maisha ya wananchi kwa kuanzisha na kupanua misamaha mbalimbali ya kodi na tozo. Hatua hizi zinalenga kupunguza gharama za uzalishaji, kuchochea ukuaji wa uchumi na kuongeza fursa za ajira. Tanzania inaendelea kusonga mbele kwa vitendo. Maendeleo yanamgusa kila mwananchi!
Misamaha ya kodi na tozo katika bajeti ya serikali kuu 2026/2027 ni hatua muhimu za kupunguza mzigo wa kodi na tozo, kuvutia uwekezaji, kuzalisha ajira na kuimarisha ushindani wa uchumi.
MISAMAHA YA KODI NA TOZO IMEFIKA!
Serikali imetoa misamaha mikubwa ya kodi na tozo katika Bajeti ya Serikali Kuu ya 2026/2027 ili kuongeza nguvu ya biashara, kupunguza gharama za maisha na kuwawezesha wananchi. Kutoka VAT, Ushuru wa Forodha, hadi misamaha kwa vijana na wafanyabiashara wadogo kuna mengi ya kujifunza. Tanzania inaendelea. Maendeleo yanafika nyumbani kwako!
ππ ππ¦ππ πππ π¬π ππ’ππ π‘π π§π’ππ’ π‘π π π¦π¨ππ¨π π’ π π£π¬π πͺπ π¨πππ¨π π πͺπ π§ππ‘πππ‘ππ
βοΈMisamaha ya kodi na tozo katika Bajeti ya Serikali Kuu ya 2026/2027 inaakisi mwelekeo wa kimkakati wa Serikali katika kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini.
Hatua hizi zinalenga kupunguza mzigo kwa wananchi na wafanyabiashara, kuchochea uzalishaji, kuongeza ushindani wa uchumi na kuvutia mitaji ya ndani na nje ya nchi.
Kwa kupunguza vikwazo vya kifedha katika sekta mbalimbali, Serikali inalenga kuharakisha uanzishwaji wa viwanda, kukuza biashara ndogo na za kati, pamoja na kuongeza fursa za ajira kwa wananchi hususan vijana.
Katika uchumi wa kisasa, sera za kodi zinazozingatia usawa na ufanisi ni nyenzo muhimu ya kuchochea ukuaji endelevu na kuhakikisha sekta binafsi inashiriki kikamilifu katika maendeleo ya taifa.
Hii ni hatua inayolenga kujenga uchumi shindani, jumuishi na wenye uwezo wa kutoa matokeo chanya kwa wananchi na taifa kwa ujumla.
#KaziNaUtu #TunasongaMbele
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa Kitabu cha miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaamtarehe 12 Juni, 2026.
ππππ‘ππ ππ¨π¨ π¬π π§ππ‘πππ‘ππ π¬ππ¦πππ₯ππππππ π ππππ π²π¬ π¬π π¨π§π¨π ππ¦ππ ππͺπ π§ππππ
βοΈRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.
Maadhimisho haya yanaakisi safari ya kihistoria ya taasisi hii muhimu katika kusimamia sera za fedha, kulinda uthabiti wa uchumi, kuimarisha mfumo wa kifedha na kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa kwa miaka sita ya miongo.
Katika kipindi cha mabadiliko ya kasi ya kiuchumi duniani, BOT inaendelea kubeba jukumu la msingi la kuhakikisha uimara wa sarafu, uthabiti wa bei na ufanisi wa mifumo ya kifedha inayosaidia maendeleo ya sekta mbalimbali za uzalishaji.
Uwepo wa uongozi wa juu wa taifa katika tukio hili ni ishara ya kuthamini mchango wa taasisi hii katika kujenga uchumi imara, shindani na unaojali ustawi wa wananchi.
Tanzania inaendelea kujenga misingi ya uchumi wake kupitia taasisi imara, sera madhubuti na uongozi wenye maono ya muda mrefu kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vijavyo.
#KaziNaUtu #TunasongaMbele
Serikali ya awamu ya 6 chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan imejidhatiti kwa kuweka mikakati mahiri jambo ambalo linakuza Sekta binafsi na kuongea fursa za ajira kwa Vijana wa kitanzania.
Kwa uongozi wa kisasa tena wenye kuzingatia utekelezaji wa ahadi muhimu zinazogusa maisha ya wananchi wa kawaida moja kwa moja Rais Dkt. @SuluhuSamia anaibuka tena kuwa kinara wa mageuzi ya mifumo na huduma za Kifedha.
Miaka 60 ya mafanikio, mageuzi na ustahimilivu. Tukiwa na umoja na maono ya pamoja, tunaendelea kujenga Tanzania yenye maendeleo jumuishi na ustawi kwa wote.