هَلْ يَسْتَوِي الَّذِينَ يَعْلَمُونَ وَالَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ
"Je, wale wenye elimu wanaweza kuwa sawa na wale wasio na elimu?"
Sūrah Az-Zumar (39:9)
ما وظيفةُ الزَّمَنِ إنْ لم تكنْ كَشْفَ ما خَفِيَ مِنَ الأُمورِ؟
وما دورُ الوَاقِعِ إنْ لم يكنْ أَنْ يُواضِعَنا ويُعَلِّمَنا جميعًا؟
Kazi ya muda ni nini kama si kufichua mambo yaliyofichika?
Na jukumu la uhalisia ni nini kama si kutunyenyekeza na kutufundisha sote?
الرَّجُلُ ذُو الْمُرُوءَةِ يَسْتُرُ أَسْرَارَ زَوْجَتِهِ، أَمَّا سَيِّئُ الْخُلُقِ فَيُفْشِيهَا بَعْدَ أَنْ يَخْلُوَ بِهَا
Mwanaume mwenye heshima huficha siri za mke wake, mwenye tabia mbaya huzitangaza baada ya kulala naye.
NB: Na kinyume chake pia.
يأَيّهَا النّاسُ إنَّ وَعدَ اللَّه حَقّ فَلا تغُرنّكمُ الْحَيَاةُ الدُّنيا وَلا يَغُرّنَّكم بِاللَّه الغَرور
“Enyi watu! Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli. Basi maisha ya dunia yasiwadanganye, wala mdanganyifu asiwadanganye kuhusu Mwenyezi Mungu.”
Surah Fātwir (35:5)
يأَيّهَا النّاسُ إنَّ وَعدَ اللَّه حَقّ فَلا تغُرنّكمُ الْحَيَاةُ الدُّنيا وَلا يَغُرّنَّكم بِاللَّه الغَرور
“Enyi watu! Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli. Basi maisha ya dunia yasiwadanganye, wala mdanganyifu asiwadanganye kuhusu Mwenyezi Mungu.”
Surah Fātwir (35:5)
الرجل الفقير يدرك فقره، أما المرأة الفقيرة فتعتقد أن المشكلة تكمن في أنها اختارت الرجل الخطأ.
Mwanaume maskini hutambua umaskini wake, lakini mwanamke maskini huamini tatizo ni kuwa amechagua mwanaume asiye sahihi.
إذا جاء يومٌ ولم تنل ما طلبتَه أو ما كنتَ ترجوه، فلا تترك شكرَ الله، فإنَّ ما صُرِف عنك قد يكون خيرًا لك.
Ikiwa itafika siku usipopata ulichoomba au ulichokuwa ukikitarajia, basi usiache kumshukuru Allah, kwani huenda kile kilichoepushwa na wewe kikawa ni kheri kwako.