I am really SAD! I want Maria Sarungi back.
Please @SuluhuSamia nakuomba speak to Ruto and make sure Maria comes back.
She’s harmless. Make sure she’s not martyred. I love her too much for that.
❤️❤️❤️❤️❤���
MARIA SARUNGI Tsehai, Tanzanian independent media editor and human rights defender, kidnapped by three armed men from Chaka Place, Kilimani, Nairobi: Amnesty International-Kenya.
NIS & TISS 🇰🇪🇹🇿
wameungana kumteka MARIA.
Ametekwa maeneo ya Kilimani.
Waliomteka ni watu watatu wenye SILAHA.
Gari lililotumika na watekaji ni NOAH nyeusi.
Sasa tunakazi moja ya KUPELEKA ujumbe KENYA kuwaambia wamuachie Ndugu yetu.
#FreeMariaSarungi
#BREAKING: MARIA SARUNGI ATEKWA NA WATU WENYE SILAHA NAIROBI KENYA
Mwanaharakati nguli na Mtetezi wa Haki za Binadamu @MariaSTsehai ametekwa leo Januari 12, 2025 eneo linaloitwa Chaka, jijini Nairobi nchini Kenya na watu watatu wenye silaha wakiwa na gari aina ya Noah nyeusi leo mida ya saa tisa na robo Alasiri.
Tutaendelea kukupa taarifa zaidi.
#FreeMariaTsehai
Hii taarifa ya kutekwa kwa @MariaSTsehai imetonesha tukio la kutekwa kwa @kizzabesigye1 na hatimaye kupewa kesi kwenye mahakama ya kijeshi Uganda. Huu ni mwelekeo mbaya katika ukanda wa Afrika Mashariki. Marais @WilliamsRuto na @SuluhuSamia mmekubali kuwa na mwelekeo mmoja na @KagutaMuseveni ? #FreeMariaSarungi
Nilikuwa mfuasi mzuri wa siasa za Rais @WilliamsRuto kuanzia akiwa KANU hadi sasa Rais wa Kenya kupitia UDA.
Nimejikuta najutia sana kupenda siasa za @WilliamsRuto baada ya kuwa Rais wa Kenya.
Hasa baada ya operesheni zake za utekaji nchini Kenya .
Mbaya zaidi Nairobi ambayo ilikuwa ni kimbilio la wanasiasa/wanaharakati na wakimbizi wa kisiasa wanaokimbia nchi zao za Africa Mashariki sababu ya usalama wao
Leo Kenya ya Rais @WilliamsRuto imekuwa siyo salama kwa Wakenya na majirani zake tena.
Mwaka 2024 Oktoba nilitaarifiwa mmoja ya Wanaharakati wa haki za binadamu alikurupushwa katika Mgahawa wa Kilimani, Nairobi alipokuwa anakula chakula na Kikundi cha watu wenye silaha huku ikisadikika kuwa ni Vikosi wa DCI Kenya vilikuwa vinawinda Wanaharakati wanaoishi Nairobi, Kenya.
Baadae mwanasiasa mkongwe na Uganda Kizza Besigye kifefe ambaye amewahi kuwa Rais wa Chama cha DDC na Mgombea urais wa vipindi vinne 2001, 2006, 2011 na 2016 alitekea na kupotea Nairobi Kenya alipokuwa katika shughuli zake binafsi kabla ya kuoenekana akiwa Uganda chini ya vikosi vya serikali
Leo nimeshtushwa na kuumizwa tena na habari mbaya za kukamatwa na kutekwa Mtanzania Mwanaharakati, Mtetezi wa haki za binadamu ,Mmiliki wa vyombo vya habari Dada @MariaSTsehai akiwa Nairobi, Kenya katika shughuli zake binafsi.
Nawasihi Watanzania tusikae kimya katika hili ikibidi tutangaze mgogoro wa kidiplomasia dhidi ya nchi ya Kenya na raia wake wote wanaoishi Tanzania kama ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu atakuwa amedhurika kwa namna yeyote au kupotea mikononi mwa vyombo vya Dola vya Kenya
#FreeMariaSarungi
"CCM wapo likizo kwa muda likizo yao inakwisha tarehe 21 mwezi huu , CCM wanaandika 'notes' kwa haya yote yanayoendelea Chadema baadaye watazitumia kinyume nasi baada ya uchaguzi ...CCM wanaweza kutumia hoja zilezile tuzilokuwa tukizitumia kwenye chama chetu kwa mfano kuna wagombea walikuwa wanaitwa Waropokaji na wengine kuitwa Mugabe aliyekaa muda mrefu sasa hoja za namna hiyo zinaweza kutumika na CCM dhidi yetu" Godlisten Malisa Kada wa Chadema.
Maria is a vocal critic of the URT Gov.
She’s been put under constant surveillance & threats by the URT Gov.
We associate her abduction in Nairobi with her legitimate criticism vs Pres Suluhu’s regime.
This is a concerning situation in a democratic society. #FreeMariaSarungi
Ms @MariaSTsehai Tanzanian independent media editor and human rights defender kidnapped by three armed men in a black Noah from Chaka Place, Kilimani, Nairobi, Kenya at 3.15pm today. Teams on site.
Spread the word, let’s keep Maria safe