Mtu anataka kutoa kielelezo, kinapingwa, Mheshimiwa anaamua kukipokea/kukikataa, anaahidi atatoa sababu huko baadae, lakini mpaka kesi inafungwa, hakuna sababu zinatolewa, kosa kubwa sana.✍🏼
MD, Mendez (M.C.A)
24/06/2025
Mzee Jaji Ngwembe anasisitiza kwamba ukimtaja Mtu kwenye Kiapo - Affidavit, basi lazima pia utuletee Kiapo cha huyo Mtu aliyetajwa - huyo Mtu lazima pia ale Kiapo kukakizia ulichosema. Anasisitiza kwamba hiyo ndio Kanuni, hakuna vinginevyo/isipokuwa - Exceptions
👆🏿Je amesahau 👇🏽