@JoeUdevu@zakfida Mbuzi ana muingilia mbuzi mwenzake kwa kuangalia miaka yake au Necha ya mwili ulivyo?
Mwnz 1;28
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi,
Mpango wa shetani ni kupunguza watu
Kupitia serekali kawin
Umewekewa ukomo wa kuowa
Sio necha tena🙌
@JoeUdevu@zakfida Kama mtu kavinja ungo hatuangalia miaka,
Miaka ni target ya shetani kuwaa kizazi cha Mungu,
Sheria za Mungu ni mtu akikuwa aowe au kuolewa,
Nb; dunia itaendelea kushuhudia kizazi cha mashoga na wasagaji, malaya n.k
Kwa sababu mamlaya ya dunia ipo kwa shetani,