Wakati wa kuchangamkia OFA ndio huu! Furahia PUNGUZO maalumu la 20% pale unapofanya shopping ya TZS 100,000 au zaidi kupitia inalipa. Tembelea inalipa app au https://t.co/PxxFAlyBOJ sasa kufanya shopping yako. #inalipa#Discount
Muda wowote ni muda wa maziwa! Sasa skia, jipendelee kwa kunywa milkshake za Milkit zenye fleva mbalimbali sasa. Tembelea inalipa app au https://t.co/hAAM6MC3LO kuagiza ufurahie maziwa yenye ladha tofauti na uliyozoea. #inalipaapp
Skia, fanya yooooote ila usiache KULA KUKU. Hebu jipendelee kwa kuagiza kuku sasa kupitia inalipa app au https://t.co/hrxEPUGdEl na tutakuletea mpaka ulipo. #inalipaapp
Una uhuru wa kufanya shopping muda wowote kupitia inalipa app. Download inalipa app sasa ufanye manunuzi ya bidhaa unazohitaji na tutakuletea ulipo jijini Dar. #inalipaapp#inalipa
Happy Mother's Day kwa MAMA wote, popote pale mlipo. Ninyi ndio mashujaa halisi katika jamii na msingi wa maendeleo. Asanteni kwa kuilea jamii na taifa kwa ujumla. #MothersDay#inalipa
Wine bora za Four Cousins Sweet Rose zinapatikana sasa kwa bei nafuu ya JUMLA. Tembelea inalipa JUMLA app kuweka oda au wasiliana nasi bure kwa namba 0800710700. Tutakuletea mzigo ulipo. #inalipaJUMLA
Skia, asikupangie mtu muda wa kunywa maziwa mkuu. Agiza maziwa fresh ya Asas kwa kutembelea inalipa app au https://t.co/0ifVfMyoJs kuweka oda yako kisha tunakuletea mpaka ulipo.
Your corporate procurement process has never been this easy with inalipa Business. We are your one-stop shop for all office supplies. Simplify sourcing, save time, and optimize efficiency today! #CorporateSolutions#OfficeSupplies#InalipaBusiness
Tunawatakia wafanyakazi wote Heri Ya Siku Ya Wafanyakazi. Tunathamini mchango wenu katika kukuza uchumi wa nchi na jamii kwa ujumla. Asanteni sana! #inalipa#LabourDay#MeiMosi
Today I met a great African woman, Mwamvita Makamba @Makambas from Tanzania.
She has written a beautiful book for the Girl Child called, Things I Tell My Daughter.
It will soon be on Amazon for everyone. Today, you can order it to your door in Tanzania via @Inalipa_tz
Let us write our stories for future generations to read, well done to Mwamvita👏🏿👏🏿👏🏿

Club goin' up, on Tuesday! Bata la midweek public holiday lianze na Jameson. Tembelea inalipa app au https://t.co/3CWA9OwZtb kuweka oda yako sasa. #inalipaapp#Jameson
Unahitaji bidhaa za JUMLA za Chai Bora? Usisumbuke sana. Tembelea app ya inalipa JUMLA sasa kuweka oda au wasiliana nasi bure kwa namba 0800710700. Tutakuletea bidhaa mahali ulipo. #inalipaJUMLA
Unachostahili kwa sasa ni bidhaa za nywele zenye ubora toka Natural Desire. Tembelea inalipa app au https://t.co/XuMBQJ0VtT kuagiza bidhaa amazing kwa nywele zako. #inalipaapp#freedelivery