In modern economies ,When dealing with investment issues the Government have to act as a politely Regulator rather than being an Admnistrator
Investors confidence is of paramount concern as far as Investment is concerned, Thus the Win-Win must be the prevailing rule of the game
Unajiuliza kwa nini mtu hana uchungu ma Tanzania wala kizazi cha Watanzania kisha unapata jibu mama ake ni mtu wa Hungary na yeye mwenyewe ni mzaliwa wa Hungary. Mwishoni anabidi acheke tu "It's complicated" ๐. Na msisahau pia mume wake sio Mtanzania ni Muethiopia.
Jamani Watanzania wenzetu mnaoenda kupanda mbegu huko nje ya nchi kisha kuzileta Tanzania zikishachepua muwe mmazingatia mustakabali wa nchi yetu wakuu ๐๐พ

Hii ndio miundombinu ambayo wale waliopokea hela za "Freedom is not free" waliambiwa waziharibu kwa kuzichoma moto na kuzivunja vunja.
Wanaharakati furaha yao ni kuona Dar Es Salaam nzima inageuka magofu na majivu.
Wanaharakati hawapiganii maendeleo. Wanataka kurudisha nyuma maendeleo ili mdhani Serikali yenu hakuna inachofanya.
Tanzania Kwanza ๐น๐ฟ

@rollymsouth mbona alishatusanua jamani? Mnataka muambie mara ngapi muelewe kuwa wanaharakati wanapambana interest zao zinazowaingizia pesa na hizo interests zinataka kuona Tanzania ikiungua.
Watanzania amkeni!!!
๐จBREAKING NEWS: WAKINA MARIA WAJARIBU KUINGIZA TENA PESA ZA "FREEDOM IS NOT FREE"ย
Kwa taarifa zilizotufikia hapa Nyani Ngabu, ni kwamba Maria na genge lake kama kawaida wameshapokea hela zao za "Freedom is not free" kama zile alizotusanua Madenge na wamekua wakifanya kila jaribio la kupenyeza pesa hizo kwa "Gen Z" ambao wamewapanga kuanzisha vurugu siku ya Saba Saba.ย
Kama hilo halitoshi, walianza mchakato wa kuingiza vijana kutoka nchi jirani ambao ndio wangekuja "waratibu" wa hao vijana wa Kitanzania. Wageni hao wameshakamatwa na mabango, t-shirt na vifaa mbalimbali kwa ajili ya "maandamano" hayo.
Taarifa zilizopo ni kwamba Maria kawashawishi wafadhili wake kuwa maandamano ya D9, D25 na J1 hayakufanikiwa kwa sababu hayakua na posho na vitendea kazi kama yale ya Oktoba 29.ย
Wakina Maria na genge lake hawajakata tamaa. Bado wanaamini machafuzi yatakayopelekea vijana kufa na kuumia ndio njia pekee ya wao kutimiza azma yao.ย
Taarifa zaidi zinadai kwamba Chadema nao wamepitishiwa hela hizo za "Freedom is not free" na wanahangaika na uratibu wa chini kwa chini.ย Viongozi wa Chadema wamesikika wakisema hawana wasiwasi kwani wameshajipanga kujitetea kwa umma kuwa wanaonewa na kusingiziwa.ย
Uzuri ni kwamba Watanzania wa leo sio tena wale wa kabla ya Oktoba 29. Wanajua vurugu na ghasia zinaratibiwa na wanaharakati kutoka nje ambao wanawatumia kama nyenzo ya kujipatia mabilioni ya ufadhili. Wananchi wameyakataa haya yanayoitwa maandama kwani hawako tayari kuumia ili kutajirisha wanaharakati ambao wako nje.ย
Sisi hapa Nyani Ngabu tunasimama na wananchi kukataa maandamano haya haramu yanayolenga kuvunja amani ya nchi na kuingiza Taifa katika machafuko.

Kuna namna hawa wanaharakati wanazidi kuchanganyikiwa kadri siku zinavyoenda. Kwa bahati yao mbaya, na nzuri kwetu, ni kwamba wananchi wameshaanza kufunguka macho.
Naendelea kusisitiza na kutoa ombi kwa wale watu waliokaribu na Maria wampatie msaada wa kisaikolojia kabla hizi harakati hazijamwehusha kabisa. Bado muda upo!
Maria na genge lake hawaamini kwamba mpaka muda huu Seneti ya Marekani imebadilisha lugha ya kwenye muswada wao juu ya mahusiano ya Tanzania na Marekani.
Kumbuka muswada wa kwanza upo kwenye Kamati Ndogo ya Kamati ya Mahusiano ya Kimataifa (Senate Committee on Foreign Relations).
Muswada wowote kwenye Mabunge ya Marekani (Senate and House of Representatives) inapitia hatua kadhaa. Na katika kila hatua lugha na vipengele vya muswada vinaweza badilishwa.
1. Kamati Ndogo
2. Kamati
3. Senate/House of Representatives
4. Rais.
Lugha ya muswada wowote unaotoka Senate lazima ufanane na ule wa House of Representatives na vicd versa kabla haujafika kwa Rais.
Muswada wa zamani ๐๐พ
https://t.co/b9bqsYZP9W
Muswada mpya ๐๐พ
https://t.co/XeyRZ52ts2
Kwa hiyo wanaharakati wakae kwa kutulia tena wakae kwa kutulia haswaaaa. Mpaka muswada unatua kwenye meza ya Rais Trump msishangae kukawa na kipengele cha kumpongeza Rais Samia kwa ushindi wake wa kishindo.

Nina swali dogo sana tu kwa leo. Kama maandamano yalikua na amani na waandamanaji walikua na dukuduku dhidi ya Serikali, kwanini walikatwa vidole vya watu waliotumika haki yao ya kikatiba kupiga kura?
Kama wanaharakati wanaodai kupambania haki za binadamu, demokrasia, na uhuru wa kutoa maoni, kwanini hawapiganii haki za waliokatwa vidole kwa kushiriki tu kupiga kura?
Kuna anaweza kutoa jibu la kueleweka?

Rais wa Singapore, Tharman Shanmugaratnam, amewasili nchini Tanzania kwa ziara rasmi ya kitaifa ya siku mbili. Ziara hii inalenga kuimarisha zaidi uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Singapore, kukuza biashara na uwekezaji, pamoja na kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati zenye manufaa kwa mataifa yote mawili.
Miongoni mwa malengo makuu ya ziara hiyo ni:
โข Kuadhimisha miaka 45 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Singapore.
โข Kukuza biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.
โข Kuimarisha ushirikiano kati ya sekta binafsi na jumuiya za wafanyabiashara.
โข Kupanua ushirikiano katika maendeleo ya ujuzi, mafunzo na utawala bora.
โข Kuanzisha na kuimarisha ushirikiano katika sekta mpya zinazoibuka za uchumi na teknolojia.
Katika ziara hiyo, Rais Tharman Shanmugaratnam ameambatana na ujumbe wa viongozi wa serikali na wafanyabiashara wa Singapore, ukiwemo:
โข Bi. Jane Ittogi Shanmugaratnam, Mke wa Rais wa Singapore.
โข Indranee Rajah, Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu na Waziri wa Pili wa Fedha na Maendeleo ya Taifa.
โข Alvin Tan, Waziri wa Nchi anayeshughulikia Biashara, Viwanda na Maendeleo ya Taifa.
โข Zhulkarnain Abdul Rahim, Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje.
โข Wabunge mbalimbali wa Singapore.
โข Maafisa waandamizi kutoka Ofisi ya Rais wa Singapore, Wizara ya Mambo ya Nje, Wizara ya Biashara na Viwanda, Enterprise Singapore na Singapore Cooperation Enterprise.
โข Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Shirikisho la Biashara la Singapore (Singapore Business Federation) ukiongozwa na Mark Lee.
Inafika hatua mtu unajiuliza kuwa huyu Maria hana ndugu? Au wamemnawa mikono? Maana anaonyesha kabisa dalili za ugonjwa wa akili.
Naomba u-Google kitu kinaitwa early-onset dementia kisha fuatilia posts za Maria kwa wiki moja tu utaelewa nasema nini.
Ifike wakati sasa watu wake wa karibu waingilie kati maana tunapoelekea ipo siku atasahau kuvaa nguo ๐๐พ.
@thomasjkibwana Tanzania ni miongoni mwa nchi 20 tu zenye vituo vya kutoa visa ya Marekani.
Wanaharakati wako kimya ila cha ajabu tungeondolewa katika orodha ya vituo vinavyotoa visa wanaharakati wangeshapata ajenda ๐.
Ungesikia "Mambo yanaanza kuiva".
Serikali ya Marekani imetangaza mpango wa kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya balozi na ofisi zake za ubalozi barani Afrika zinazoshughulikia maombi ya visa, kutoka takribani vituo 50 hadi vituo 20 pekee vya kikanda vya uchakataji visa.
Mabadiliko hayo yanatarajiwa kuanza kutekelezwa mwezi Juni 2026 kama sehemu ya ajenda pana ya utawala wa Rais Donald Trump ya kuimarisha usalama wa mipaka na kudhibiti uhamiaji.
Athari za Uamuzi Huo
โข Waombaji wa visa kutoka nchi zitakazopoteza huduma kamili za uchakataji visa watalazimika kusafiri kwenda katika vituo vya kikanda vilivyoteuliwa kwa ajili ya mahojiano na uchakataji wa maombi yao.
โข Hali hii inaweza kuongeza gharama za usafiri, muda wa kusubiri na changamoto za kiutawala kwa wanafunzi, wafanyabiashara, watalii na wahamiaji wanaotaka kusafiri kwenda Marekani.
โข Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inaeleza kuwa kuunganisha huduma hizo katika vituo vichache kutasaidia kuongeza ufanisi, kuimarisha ukaguzi wa kiusalama na kuboresha mifumo ya uthibitishaji wa waombaji.
Vituo vitakavyoendelea kutoa huduma kamili za visa ni:
โข Abidjan (Cรดte d'Ivoire)
โข Accra (Ghana)
โข Addis Ababa (Ethiopia)
โข Cape Town (Afrika Kusini)
โข Dakar (Senegal)
โข Dar es Salaam (Tanzania)
โข Djibouti
โข Johannesburg (Afrika Kusini)
โข Kampala (Uganda)
โข Kigali (Rwanda)
โข Kinshasa (DRC)
โข Lagos (Nigeria)
โข Lomรฉ (Togo)
โข Luanda (Angola)
โข Malabo (Equatorial Guinea)
โข Monrovia (Liberia)
โข Nairobi (Kenya)
โข Port Louis (Mauritius)
โข Praia (Cape Verde)
โข Yaoundรฉ (Cameroon)
Chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaendelea kuonyesha uimara mkubwa wa kiuchumi na maendeleo yanayoonekana.
Hapa chini ni muhtasari wa robo ya kwanza ya mwaka 2026 (Januari-Machi)
Huyu ndio kiongozi vyombo vya Magharibi kama CNN, BBC, DW na The Economist vinataka mumchukie ๐๐พ
๐ Uchumi wa Tanzania ulikua kwa asilimia 5.7, kutoka asilimia 5.4 mwaka uliopita, ukichochewa na sekta za kilimo, ujenzi, huduma za kifedha na uwekezaji unaoendelea.
๐ Mfumuko wa bei uliendelea kuwa thabiti kwa asilimia 3.2, ndani ya lengo la taifa na chini ya viwango vya kikanda, hatua inayosaidia kulinda uwezo wa wananchi kumudu gharama za maisha.
๐ผ Mikopo kwa sekta binafsi iliongezeka kwa asilimia 24.1, ishara ya kuimarika kwa mazingira ya biashara na kuongezeka kwa fursa za uwekezaji.
๐๏ธ Ongezeko la uagizaji wa mitambo, vifaa vya usafiri na pembejeo za viwandani linaonyesha uwekezaji mkubwa katika uzalishaji na ukuaji wa uchumi wa baadaye.
๐ฐ Mapato ya kodi yalivuka malengo yaliyowekwa na kufikia asilimia 103.4 ya makadirio, huku mapato ya ndani yakifikia asilimia 99.3 ya lengo, jambo linalodhihirisha kuimarika kwa shughuli za kiuchumi na usimamizi bora wa ukusanyaji wa mapato.
๐ Akiba ya fedha za kigeni ilifikia Dola za Marekani bilioni 6.08, kiwango kinachotosheleza kugharamia uagizaji wa bidhaa na huduma kwa miezi 4.7 na kukidhi viwango vya kikanda vya usalama wa akiba ya fedha za kigeni.
Matokeo haya yanaonyesha uongozi thabiti, usimamizi makini wa uchumi na dhamira ya dhati ya kuendeleza Tanzania. Takwimu zinaonyesha wazi kuwa Tanzania inaendelea kusonga mbele kwa kasi na mwelekeo sahihi.
Hii ndio Tanzania chini ya Samia Suluhu Hassan.

To the Editorial Board of The Economist (@TheEconomist),
I would like to draw your attention to an article repeatedly promoted across your digital platforms titled, "Is Samia Suluhu Hassan Africa's most disappointing president?"
The substance of the article is, of course, open to debate and wildly speculative. However, my concern extends beyond its content. The article makes a number of serious claims while appearing to offer little evidence for some of its assertions and, from the perspective of many readers, does not seem to adequately present alternative viewpoints or responses from those being criticized.
What is even more surprising is the frequency with which this particular article has been promoted. To date, it appears to have been posted or reposted on your digital platforms on at least 22 occasions, including on 1 June, 31 May, 30 May, 28 May, 27 May, 26 May, 25 May, 21 May, 19 May, 18 May, 16 May, 15 May, 14 May, 13 May, 12 May, 10 May, 9 May, 8 May, 7 May, 5 May, and 4 May.
Given this extraordinary level of repetition, I would welcome an explanation from Editor-in-Chief Zanny Minton Beddoes (@zannymb) and Deputy Editor and Head of Digital Strategy Tom Standage (@tomstandage) regarding the rationale behind this promotional strategy.
The reason many readers are asking questions is simple: it is highly unusual to see the same article promoted so persistently over such a prolonged period. As a result, some have begun to wonder whether this is a genuine editorial decision or whether there are other motivations behind the campaign. The repeated promotion creates the appearance of an agenda-driven effort rather than the normal dissemination of journalistic content.
If The Economist holds a particular editorial position on Tanzania and its government, it would be more transparent to state that openly. Likewise, if there are reasons for repeatedly elevating this article above others, included but not limited to this being a paid hit piece, readers deserve an explanation. Transparency is an essential component of credible journalism.
I do not expect a response, but if one is forthcoming, many of us would be interested in hearing the reasoning behind what appears to be an unusually persistent promotional effort. If no response is provided, I hope the concerns raised by readers will at least be taken into consideration moving forward.
Regards,
N. N. Ngabu