Wachezaji 19 kati ya 26 wa timu ya Morocco wamezaliwa Ulaya na wanaishi huko. Tena kwenye mechi yao dhidi ya Brazil waliweka historia ya kuwa timu ya kwanza kwenye world cup ambayo wachezaji wake wote wa first 11 wamezaliwa nje ya nchi. Morocco inanufaika na vipaji vyake vya nje.
Asilimia 91% ya waajiri duniani hutumia Social Media kama sehemu ya mchakato wa kuajiri, mfano kutangaza ajira nk. Tena Mtandao wa X unaongoza. Pia X inatumiwa na vijana wengi kutafuta ujuzi, kutengeneza maudhui na kutangaza biashara. Ukiifungulia X, unawapa vijana fursa bora.
Kuanzia Jumatatu, Whatsapp inaanza kuruhusu watu kuchat bila kubadilishana namba. Kitakachokuwa kinatumika ni “username” kama ilivyo kwenye mitandao mingine mfano Instagram, X nk. Hivyo hautahitaji tena kuwa na namba ya simu ya mtu ili muweze kuchat kwa whatsapp, bali username tu
Five years ago, the people of Tanzania and the Lead Foundation dug a half-moon water shield in the dry pasture fields of Arusha, restoring the dry land into pastureland.
Out of the 48 nations in the World Cup, only Argentina do not have a single black player, think people need to deep and research why that is, it’s insane.