UKIONA HII REPOST
Nimetoka kuongea na Ofsa Kiduku hapa kwa urefu kidogo.
Kwanza mwana anashukuru sana kwa Love Mliyoonyesha kwa kupaza Sauti, lakini pia kasema niwaambie kuhusu Afya yuko sawa na amedai kuna watu walikuwa wanaendelea ku show Love mpaka huko kituoni mwana anasema alikuwa anakula vizuri tu kwasababu ya U Familia wenu. ๐
Jambo lingine ambalo hakuniomba nililete ila mi nalileta kwenu baada ya mimi kumuomba akubali nililete ni hili.
Mwana ametoka kwenye matatizo hana Simu na kwa bahati mbaya ilikuwa ni muda wa kodi umekaribia na hajafanya kazi wiki akatuomba kama wana tufanye linalowezekana apate kodi na simu.
Ila tunajua kiume mwana ana changamoto zaidi ya hizo ila hawezi sema nikaona kidogo tutachochangia na wana tumchangie chochote kile maana kodi 600k na simu kwa biashara yake hawezi tumia kitochi lazima apate tambo.
Mimi na Sativa tutachangia 300K iliyobaki wengine tunaweza changia kwenye hii namba ya Mtu wake wa karibu maana yeye hana laini wala simu.
Namba ๐๐๐
0657523001
YAHSINTA CHUWA
REPOST REPOST
๐ฃ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐
โก๏ธ Kama nilivyoripoti, nafasi ya Romain Folz ๐ซ๐ท kubaki Yanga ni ndogo.
Viongozi wa juu hawafurahishwi na mwenendo wa timu.
โก๏ธ Kwa mujibu wa vyanzo vyangu, mechi dhidi ya Mbeya City ilikuwa ni nafasi yake ya mwisho ya kuonyesha Mabadiliko.
Nyie vijana wenzangu wa kiume mnaoendekeza tabia ya kuwatenganisha mama yako na baba yako kwa kumchukua mama na kuja kukaa nae mjini wakati baba umemwacha kijijini peke yake..
Zamu yenu inakuja.. Mtakuja kuonja wanachopitia wazee wenu sasa hivi. Labda msizeeke na nyie ๐
It's the matter of time.
#TajiriLaKihaya
Humu ndani inabidi tu kila mtu atambueโฆ
Adui wako Hawezi akawa Adui wangu mmโฆ na Rafiki yako Hawezi akawa Rafiki yangu mimiโฆ
Ni kutambua tu Mipakaโฆ
Sasa wote mnataka tusikitike Account ya Cannabis kuwa Suspended? Suspension si atarudi tu!
Afterall mimi KANIBLOCKโฆ hata akiwa active sioni chochoteโฆ
So sijafurahia account ya Cannabis kuwa Suspended na vilevile SIJAHUZUNIKA!
Huo ndio Ukweli wangu bila UNAFIKIโฆ