2012 nilimpoteza Baba yangu Mzazi ktk mazingira ya chuki za ndugu wake wa karibu zilizopelekea njama za yeye kusalitiwa na kuuzwa kwa POLISI na wananchi Wenye nia ovu;
Ushirikina,Uhasama,Wivu wa maendeleo na tofauti za kiitikadi hasa baba yangu kuendesha Oparation za CHADEMA.
Ndio mlisema Elon Musk aliinunua Twitter (X) kwa Thamani ya Trilion 116.1, Je itamchukua muda gani kurudisha na kutengeneza faida ya uwekezaji kwenye mtandao? @Grok@Kante
@MkulimaKante Kuna ambazo zimekaa kama Bastola,hiyo ukikaza hata kama wamekufata kumi wee itegeshe kiunoni tu,sema unapaswa ufanane sasa na wewe kama mmiliki halali๐คฃ
@Innocen89950594 Hata hizi mnazoziita Ndoa, siku hiyo kuvishana mipete,shangwe na vigeregere, viapo na kupeana vyeti, tangu najitambua sijawahi kubaliana na aina hii ya UTAPELI wa Macho
Dunia ya Mwanamme kaumbiwa Maumivu tu.
@KihongosiUfunuo Hizi Iman za hawa,siku Africa ikitoka usingizini tutakuwa tumechelwa sana.
Hakuna eneo nyeti waliofanikiwa kututawala kama eneo la kiroho.
@godbless_lema Huyu kama kuna mtu yupo nae karibu amuwahi mapema amnyang'anye simu,make anaendelea kuharibikiwa๐คฃ
Kwa sasa,angechagua kukaa kimya tu.
@YerickoNyerereT Ninyi tangu mtoke CDM na hilo kundi lenu la Mwamba tuvushe ,hamjawahi ridhika kabisa kuwa nje ya CHADEMA
Simuhangaike na Chama cha Ukombozi wa Umma
Tuliamru Pepo zivume tupepete Mpunga Mashambani.
Kuna watu bado hawaamini ktk Ukuu wao,ukiwaambia kuwa anauwezo
wa kuamrisha Pepo,Maji,Moto nk, wanahisi miujiza inafanywa na waliopakwa mafuta tu.
" Mother Nature is powerful.โ