#ReggaeVibesKbc.Kijana wa b4 mambo vipi...!!Nko kwa KCT 942 J ni reggae tu inanimaliza.Nichezee Happy Wife Riddim iwaendee wife Mercy Wafula, Evans Waiswa, Sumbeywo Kibe, Oscar Camarada, Kevin Wekulo, Bigship Sounds, Swabry Kingston na mbogi yote ya X .Ni fire ๐ฅ si fire ๐ฅ...??
#ReggaeVibesKbc.Mimi nakuna kitovu mbele ya wamama mtaniitaje...?Nko Bungoma kazi tu with No Jestering.Gotea Evans Waiswa, Kevin Wekulo, Sumbeywo Kibe, Oscar Camarada, Swabry Kingston, Bigship Sounds na Jeff Mwangemi. Waambie wajikune mahali yao kabisa
Aliyekuna kichwa mbele ya wazee, aliitwa mwenye mkutano wa chawa ๐ค๐ค.
Hata hivyo, leo kwenye #ReggaeVibesKbc itabidi tujikune vichwa wote pamoja. Old Fashion Love Riddim Vs No Jestering Riddim. Hapo vipi wakuu??
#ReggaeMusicSoNice
Aliyekuna kichwa mbele ya wazee, aliitwa mwenye mkutano wa chawa ๐ค๐ค.
Hata hivyo, leo kwenye #ReggaeVibesKbc itabidi tujikune vichwa wote pamoja. Old Fashion Love Riddim Vs No Jestering Riddim. Hapo vipi wakuu??
#ReggaeMusicSoNice
@mwangemi_jeff#yfta.Kbc.Jeff mambo vipi...?Gotta Evans Waiswa, Kevin Wekulo, Sumbeywo Kibe, Oscar Camarada, Bigship sounds, Swabry Kingston na Dj Stano.Wachezee Keep Blazing ya ndogoo Jamere Morgan
Mwenye sura kali si lazima awe na pesa, wengine kazaliwa wamekasirika ๐ง๐ง.
Leo ni Furahiday, legeza sura na uingie mpangoni #ReggaeVibesKbc 2pm - 4pm, Satisfaction guaranteed. Twende nalo wakuu..
#ReggaeMusicSoNice