Ukitaka kujua yule bwana kutoka Mwanza alikua ameamua kupindisha zile sheria 17 za kuliamua ZAGA, hata 4th licha ya kumuita mara kadhaa na kumuelekeza hii siyo sawa. Alijifanya kavaa Head Phone masikioni. Hasikii lolote akafanya yeye anachotaka. Ni aibu tupu Ka-Mkubwa.
Yes, tumepoteza mchezo tuliostahili kushinda, kuna nyakati ni ngumu sana kuelezea tafsiri ya sheria 17 za mchezo, pale zinaposhindwa kutafsiriwa vema, Poor Officiation of the season so far kwenye game yetu leo.
TAARIFA..โผ๏ธ
kuna ujumbe umesambaa kwa watu wangu wote niliowafuata au kunifuata hapa Instagram, (Followers) ambao kimsingi sijatuma mimi, inawezekana wapo walikuwa wanajaribu kuondoka na Acc yangu au ni tatizo la kiufundi huko Meta, poleni kwa usumbufu ndugu zangu
Rehema Mohamed CHICHARITO, anastahili kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Mei, amehusika kwenye magoli 11 so Far, Amefunga mabao 6, na kutoa assists 5. Amefunga Hat-trick dhidi ya Bilo na kuisaidia Fountain kushinda mechi 4 na sare Moja kwenye mechi tano ndani ya Mwezi huo. No Dont Lie.
GAMONDI Baba, Sikupangii cha Kufanya Baba, lakini tafadhali tafuta angalau mechi 3 za Fountain Gate FC Baba, kweli hatustahili kuwa na Player hata mmoja kwenye timu yako Baba?
GAMONDI Baba, Sikupangii cha Kufanya Baba, lakini tafadhali tafuta angalau mechi 3 za Fountain Gate FC Baba, kweli hatustahili kuwa na Player hata mmoja kwenye timu yako Baba?
Huyu Bwana RIO FERDINAND Yupo Bongo kwa mwaliko wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo chini ya Master Paul Makonda. Hivyo We as Fountain Gate hatujakaa kizembe tumepanga kumuonesha sisi ni nani hapa BONGO. Hatuna Jambo DOGOโฆโผ๏ธ
Hii timu iliyofuzu World Cup ya U-20, wachezaji current 3 wanacheza Fountain Gate Princess, kwenye hii Squad wachezaji wote waliochuchumaa wamevaa uzi wa Fountain Gate Princess, waliosimama wawili waliwahi kuvaa uzi wa Princess namba 15 and 19. UMEJIFUNZA NINI? Wโr The Best
Mali Imeambiwa Tulia hapo Kama unanyolewa, Ikasema Sewa Baba. Na huo Mpira hapo kati ya Shingo mgongo na Kichwa ulikaa kwa sekunde 90 Elfu nukta saba sufur. Mambo ya Kids Soccer hayo hapo FONTENGA BABAAAโฆโผ๏ธโผ๏ธโฝ๏ธ๐
Sikuwepo Uwanjani, Huu ni Ujumbe kutoka kwa Mdau ambaye alikuwepo pale Isamhuyo leo.๐
Wazi Jkt kacheza na Refa kaka hatari tupu ๐. Goli la Kwanza ni penati, Penati ya kihuni kabisa hakuna contact yoyote, mchezaji wa Jkt kaenda kumvaa mlinzi wa Fountain basi refa kaweka tuta.โ
Nimepokea meseji nyingi sana DM yangu zikisifu uwezo na kiwango kikubwa walichoonesha Fountain Gate Princess kwenye game na Simba pale Chamazi. Just Football Politics zilitunyima alama 3 lakini timu bora ilipoteza mchezo. Proud Of You Girls. Mmewaonesha watu Quality yetu.
TUMESHIKANA MABEGAโฆโผ๏ธโฝ๏ธ
Full Time 1-1, Wapinzani Wanashangilia kupata sare. Sema Barcelona hawa wa Moro siwataki, wanacheza mpira ngumi Kama jiwe, Sijui wanapanda milima huko Mkuyuni.
JUA Limekuwa Kali Sana Singida. Wenzetu Wanatoka kwenye UKAME, joto ndo maisha yao, sisi wa ARUSHA limetusumbua.
Tutarudi tukiwa na Nguvu Kubwa In Sha Allah. Hakuna Unyonge Wala kukata tamaa.
Anaandika Mdau DM.!
..
โMtoto wa dada Yangu anakula maisha Marekani, Fountain Gate iheshimiwe sana, mliona kipaji chake hapo mkampeleka sehemu sahihi, Sasa hv yupo huko anpiga ball.โ
Tupo njiani muda huu tunaenda zetu Nairobi Kenya kwenye Next Stars Tournament, vijana wetu wa Kids Soccer Program (U-7) na (U-13) wanakwenda kutoa darasa la mpira unachezwaje, Alikiba si katoa sare na Bien, sisi tutarudi na ubingwa nyumbani..โผ๏ธ๐ฅ