@raphyrodrick Hiyo vita haijaisha kaka,jamaa yangu 1 aliwahi niambia mkifikia hiyo hatua jua vita ni endelevu mpaka. Hapo ungebaki na mtoto ni vita amebaki na mtoto ni vita. Pole bro
Earlier today, at Mwenge…sijui jamaa ataishia Karakana au ataruka kichurachura?
Nyeupe alichukua funguo, mwananzengo akaretort!
MP wameokoa Jahazi!
Thank you for your service!
@Rahim_Meghji Always "Hunting goes by size" hakuna namna cheetah anaweza fikiria kumuwinda buffaloes mkubwa hiyo ni kazi ya Simba kuanzia 3 labda. Cheetah labda atajaribu kitoto cha mbogo na ni nadra sana hata kujaribu hilo pia. Hapo hiyo clip ni AI
Wapo Ndege wanakurupuka asubuhi sana ili kuwatafutia makinda wao “Chakula” ili wasife njaa, ukimlenga kwa “Manati” na kumvunja bawa lake, wewe utawauwa makinda yake kwa njaa, yatakulilia kwa Mungu Muumbaji.