@error_code01@ngassa_mag12857@Kavyrince11@Ndissajr23@goligani Wanashindwa kutofautisha mdhamini na muwekezaji
Gsm amewekeza yanga na amedhamini timu nyingine ndio tatizo linapoanzia,
Ange dhamini timu bila kuwekeza kwenye timu yoyote kusingekua na shida