@kasesco_tz ๐ ๐ ๐ ๐ ๐๐๐unasikia
""Wewe ndo huwezi kunitenga kwenye hii dunia nakupenda sana roho yangu, mboni ya jicho langu, wewe ndo unaweza kunifanya nioone Dunia chungu""๐ ๐ ๐ ๐๐
Na ukikaa vibaya anapost picha ya miaka hiyo wakiwa yeye mtoto, na baba wa mtoto.๐ ๐ ๐๐
@fintanjr_ Afu mbona anataga mayai mengi hivo?
Ila wale nyoka waporoni mara nyingi waoo hutagia kwenye vichuguu tena kichuguu kirefu mno kias kwamba mpaka unayafikia mayai yake uwe umefanya kazi kubwa sana,
Ila huyu ni wale wakufuga๐ ๐
@P_simpleman95 Sio rafiki yako wakaribu tu, hata mtaani hutaki WATU wajue kulala nae usiku mzima tu huwezi๐ ๐ ๐ ๐๐๐afu mara nyingi vinakuaga vitamin balaaa