Watanzania achaneni na Majizzo na wapuuzi wengine. Kwa hali ya sasa sio Majizzo tu hata Kusaga wiki ijayo atawaombea msamaha wasanii. Kwa sababu hizi
1. Radio & Tv zinakufa pia sio wasanii pekee
2. Serikali batili inahitaji Watanzania mrudi kuwa busy na wasanii ili wao waendelee na unyonyaji na uuaji.
3. Wasanii ndio tegemezi la CCM katika kuhamasisha Jamii, so wananchi mkiwapuuzia na kuwapotezea wasanii na serikali batili imepoteza nguvu juu ya wananchi.
4. Wanataka nchi irudi kwenye hali ya zamani, yani wananchi mko busy na wasanii na sio seriajli.
Popote pale ulipo show some Love and Respect kwa dada wa taifa @mangekimambi kwa Retweet & like anafanya kazi ya kitume sana mungu ampe maisha marefu sana❤️🙏
⚠️ Viewer discretion is advised!
‼️🚨THE MASSACRE IN TUNDUMA IS HUGE‼️
#TanzaniaMassacre that happened in Tunduma was led by @ccm_tanzania loyalists and soldiers - many who didn’t speak Kiswahili - it was genocidical and methodically!
Remember I posted a lot about this since Oct 30 and reports showed Ugandan mercernaries involved!
Well they killed indiscriminately! The death toll is huge! One person told me 1/3 of Tunduma population was massacred!
So @commonwealthsec there is no MEDIATION here - we want Justice and Accountability!
This family was not protesting but sheltering at home peacefully! There are THOUSANDS! @IntlCrimCourt@UN@SusanNamondo@AminaJMohammed @OHCHR_EARO we need an international independent investigation team NOW!
Jamani mi naendelea kufanya documentation ila nataka nihakikishe tunaelewana kwa nini hakuna maridhiano bila Haki na Uwajibikaji! Wamechinja sana vijijini huko kama Tunduma! Tunahitaji @SuluhuSamia aondoke haraka kabla nchi haijalipuka huu upumbavu hatutavumilia
#SamiaMustGo
#TanzaniaMassacre
@HelloFromTz@HildaNewton21 Wazee wetu walikuw wanaabudu mitii,wengine mawe..imani ya mtu usiiguse kabisa..imani na elim ni vitu viwili tofaut..wahindi wanaabudu ng'ombe,your iq is so low