@TneyMashaah Zinakuwanga hivo in turns. Ukinut na ya left inakuwa light inapanda. Ukinut na ya right same same.
Na nikuulize,bona huwa unaficha masikio kwa picha? Ni kubwa ama?
@Uhunyeparody Mkuu mimi ata nashuku kama bado uko mtaa ama ulisign out deep state wakaweka impostor ama yule jamaa anakufuanana. His sudden appearance was suspicious. Hiyo miaka yote alikuwa wapi? Tuma kakitu niamini ni wewe.
Ama ata pin ya Mpesa walikuwa wanajua🙄🙄🙄🙄