GIRISHONI amefanya niipakue hii makala, tusikilize wote.
Wote sasa tukatazame makala ya BBC AFRICA EYE ya mwaka 2026 inaangazia mapambano ya kisiasa ya Tundu Lissu na jaribio la mauaji dhidi yake la mwaka 2017, ikionyesha juhudi zake zinazoendelea za kudai mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania licha ya kukabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyopewa mwaka 2025.
Halafu baadae tutapata muda wa kujadili kipeperushi cha Serikali katili ya CCM kilichotolewa na GIRISHONI.
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
"Ndugu David Jumbe ametekwa, mmoja kati ya watu sita waliomteka alikuwa amevaa nguo za Askari wa Jeshi la Polisi na wengine walikuwa wamevaa kiraia." Mhe. Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Bara.
This is how @TunduALissu waa welcomed in court by the people 🔥💪🏽
Rais! President!
He is the People’s President!
Our fearless leader ✊🏽 the Legend!
Hakuna kukaa kinyonge 🤣
Acha wanune - kwetu raha
#FreeTunduLissu