Mwanachama na Mdau wa Yanga SC, Chrispo Hezron amenunua tiketi 100 za kushuhudia mchezo wetu wa robo fainali #cafconfederationcup dhidi ya Rivers United, kwa wote watakaojitokeza kwenye zoezi la uchangiaji damu litakalofanyika tarehe 28 katika viwanja wa Leaders Club, DSM.
Kampuni ya Armadillo Enterprises Ltd imenunua tiketi 100 za kushuhudia mchezo wetu wa robo fainali #cafconfederationcup dhidi ya Rivers United, kwa wote watakaojitokeza kwenye zoezi la uchangiaji damu litakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 28 katika viwanja wa Leaders Club, DSM.
Kampuni ya Zahol Matelephone imenunua tiketi 100 za kushuhudia mchezo wetu wa robo fainali #cafconfederationcup dhidi ya Rivers United, kwa wote watakaojitokeza kwenye zoezi la uchangiaji damu litakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 28 katika viwanja wa Leaders Club, DSM.
JIFUNZE UDUKUZI UKWEPE KUDUKULIWA.
Uzi π§΅ π§΅
Aina za udukuzi π
1. UDUKUZI KWA NJIA YA WI-FI .
Hii ni aina ya udukuzi ambapo mtu anajaribu kuingia kwenye mtandao wako wa Wi-Fi kisha kuchukua taarifa binafsi bila idhini yako .
KWANI DRACULA NI NANI Pt.2
Kwenye KIPANDE Hichi..
Kutoka Uzi Mkuu Wa Kwanza, Uta Fahamu Mengi Zaidi Kuhusu DRACULA! Hasa Hasa Yeye Ni Nani, Anaishije, Kwanini Hawezi Kukaa Juani, Kwanini Anakunywa Damu,
Lakini Je, Ushawahi Jiuliza Kwamba DRACULA NI VAMPIRE Au?! (twenzetu)
Kujiunga Na Channel Yangu Ya Telegram, Ni Rahisi Sana. Ingia Hapa Kwenye Link Chini Ukamilishe Malipo Ya 2500 Kwa Siku 30 Au Zaidi. Kuna Muvi Na Series Za Kukata Na Shoka,
Acha Kupoteza MB Zako Kizembe. Uwoga Wako Ndio Umasikini Wako!
https://t.co/HnWkRrbf2f