Marehemu enzi za uhai wake
Baada ya Idd Amin Mama kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi na kujiweka madarakani bila kupigiwa kura.
Lukuvi akiwa Bungeni anatamba kabisa kwamba Wabunge wote wamshukuru Idd Amin Mama maana kawabeba kwenye Uchaguzi.
Idd Amin mama aliwapa Ubunge haram wote hawa baada ya kufanikiwa kumwaga damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi.
Kwahiyo hapa walikuwa wanamshukuru Idd Amin mama kwa kumwaga damu za ndugu zetu ili wao wawe wabunge.
Halafu kuna mtu anasema nimuheshimu marehemu wewe unaweza kumheshimu mtu aliyeuwa familia yako..?
Tunachoweza kama TAIFA ni;
1. KUTEKA wapinzani.
2. KUSHUGULIKA na CHADEMA.
3. KUSHUGULIKA na LISSU.
4.POLISI kuuwa wananchi kwa kupiga risasi za VICHWA.
Nchi imeoza kila kona.
Wasenge hao siku ya 6 leo hawajarudisha pesa yangu licha ya kuwatumia email na kwenda tawini.
Staff wa bank nyingi wanahisi wapo kwa interest za kampuni sio wateja🚮
Mwanasiasa na Msanii wa Bongo Fleva, Joseph Mbilinyi (Sugu) ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa kwenye mahojiano na Mwananchi Digital, mazungumzo ambayo yamechapishwa Machi 23, 2026.
Fuatilia zaidi https://t.co/ZZP6oRxUVj
#JamiiForums#Utawala#Governance#Siasa
Nazani Utawala huu ndo umeingia kwenye list ya Utawala uliochukiwa zaidi na wananchi kuliko tawala zote hapa Tanzania. Ni wa pili ukitoka Utawala wa Wakoloni ✍️
CCM haijawahi kuwaza future generations hata siku moja , isipokuwa uchaguzi tu, mambo mengi yanayotokea ktk utawala wao ni basic issue tu. Umetumika vibaya ktk kila nyakati za utawala wa CCM , kudhalilisha, kuumiza na mabaya mengine mengi kama ambayo USA waliyatolea tamko.
Anayekutumia wewe hawezi kuwa na maarifa ya kutosha kwa sababu wewe ni liability. Kuanzia wakati wa JK, Magufuli, na sasa Samia. Ulimgeuka yoyote mwenye heshima yoyote kutokana na interest na sio integrity na haki. Nafikiri wanaokutumia wanafurahishwa na uzembe wa fikra za aina hii. Hata hivyo mambo yatakuwa tofauti sana ktk siku za usoni. Nafikiri siku zote huko nje ya kuta za jela kwa bahati mbaya. Unapaswa kuwa jela.
Katika mahojiano hayo, Sugu ameeleza kuhusu matukio ya Oktoba 29, mwaka jana, akipendekeza njia ya kuliunganisha Taifa na kurudisha mshikamano ni kuwe na uwajibikaji, wakosaji wakiri, na Lissu, aliyekuwa mahabusu kwa kesi ya uhaini, aachiwe huru.
Oktoba 29, mwaka jana kuliibuka maandamano yaliyozaa vurugu na kusababisha watu kufariki dunia na wengine kujeruhiwa, kuharibu mali za watu binafsi na miundombinu ya umma. Hata hivyo, Rais Samia Suluhu Hassan ameunda tume ya kuchunguza kiini cha tatizo, inayotarajiwa kumaliza muda wake mwishoni mwa mwezi huu.
#mwananchiupdates
#tunawezeshataifa
BUNGE HARAMU limepoteza waliokuwa WABUNGE HARAMU 3-4 chini ya miezi 6 tangu wale KIAPO HARAMU.
LEO LUKUVU—msenge alijimilikisha Jimbo la isimani kwa miaka 30+. Aliwahi kusema hata akiweka KOTI lake litashinda tuu UBUNGE.
Leo Msenge kawa msosi wa MCHWA NA FUNZA kumamake mwaga moto.