#Nyuzi_za_injili
🧵Uzi ~Nini maana ya Damu ya Yesu ( Pt 1)
•Moja ya mambo makubwa
yasioeleweka sawasawa katika
jamii yawaamini ni “Damu Ya
Yesu”
•Tafsiri mbaya ya maandiko
huzaa Imani potofu,
•Maandiko
hayapaswi kudhaniwa bali
kuchunguzwa.
👇👇
Mathayo 11:28: "Njooni kwangu... nami nitawapumzisha." * Pumziko ni Nani? Ni Kristo Yesu!
Ukweli: Ikiwa Kristo yuko ndani yako, tayari unalo Pumziko (Sabato) ndani yako. Huuhitaji vitu vya nje. 💎
👥 Salvation (class Darasa la)
Agano la Kale lilitumia alama (vivuli) kumfundisha mwanadamu kuhusu Kristo:
🐑 Wanyama, 🍞 Vyakula, 🏺 Vitu, 📅 Siku maalum.
Sasa kristo Amekuja!
Hatuhitaji tena alama/vitu kama kwenye ibada za sanamu. Wokovu haupo kwenye "vitu," bali kwa kumwamini Kristo pekee! ( Kol 2:16-17).
Watu wengi wamefungwa na "lebo" walizopewa na familia, walimu, au mazingira duni. Unaposema, "Niko ndani ya Kristo, hiyo ndiyo hatima yangu," unahamisha mamlaka ya kujitafsiri kutoka kwa binadamu na kuiweka kwa Yesu. Hapo ndipo uhuru wa kweli unapoanzia.
👥 Salvation class
"Mungu anaweza tu kujulikana ndani ya Kristo." Nje ya Yesu, tunapata picha ya Mungu iliyochanganyika na tamaduni, hofu, na falsafa za kibinadamu. Ndani ya Yesu, tunampata Baba wa kweli.
👥 Salvation class (Darasa la wokovu)
Kabla ya Yesu, watu walimjua Mungu kama "Mwenyezi" (El-Shaddai) au "BWANA" (Yahweh). Yesu alitufundisha kumwita "Abba" (Baba). Huu ni ufunuo wa karibu sana uliopitiliza uelewa wa wanadamu wa kale.
👥 Salvation class (Darasa la wokovu)
1 Yohana 1:5 inasema: "Mungu ni nuru, wala ndani yake hamna giza lo lote." Yesu alikuja kuondoa utata huo—kwamba uovu hautoki kwa Baba, bali ni zao la Shetani (Yohana 10:10).
👥 Salvation class (Darasa la wokovu)
Mchango wako ni sadaka ya matumaini kwa msichana aliyepitia maumivu.
Pamoja, tunajenga hifadhi salama ya matumaini.
Tushirikiane kwa kuchangia ujenzi wa kituo cha Msichana Centre.
+255 754 251 022 - Msichana Initiative
#MsichanaCentre#NdotoyaMsichana
Karibu Sinza Mori tuna
Vibambala 1 - 15,000/-
Fulu package 1 - 15,000/-
Dagaa package - 25,000/-
Karibuni sana
Tupo Mwanza, Kahama & Dar es salaam
Kwingine tunatuma 0759855572
"watu huangamia kwa kukosa maarifa." Maarifa haya si ya darasani pekee, bali ni Epignosis—ujuzi kamili wa Kristo. Bila kumjua Kristo (Adamu wa Pili), mwanadamu anabaki katika hali ya Adamu wa kwanza—wa udongo, mwenye dhambi, na aliyetengwa na uzima.
✍️ Jacob J saro