Nimeutazama ujumbe wa Sylvester na Mama yake kuhusu uamuzi wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa aina yake vyuoni unavyogusa maelfu ya familia na kuandika historia mpya. Maelekezo na mwongozo wangu ni kuhakikisha mpango huu unaendelea kwa ufanisi na vijana wengi zaidi wananufaika nao. Nakutakia kila la kheri Sylevester na wenzako wote katika vyuo mbalimbali nchini.
Baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vilivyo ripoti taarifa ya Freeman Mbowe leo ni pamoja na;
•BBC- Uingereza
•AFP news agency- Ufaransa
•Aljazeera- Qatar
•VOA- Marekani
•AP News- Marekani
•SABC News- Afrika kusini
•NTV News-Kenya