Anaitwa @DocFaustine waziri mwenye dhamana na mawasiliano. Waziri aliyetumika na serikali kupandisha gharama za vifurushi. Bavicha, "TUNAITAKA SERIKALI IPUNGUZE GHARAMA YA VIFURUSHI". Retweet Tweet hii iwafikie wenye dhamana.
Hatimaye maswali 2 ya Katibu mkuu bora kati ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini, yameibua mjadala wa kitaifa.
1. Yuko wapi
2. Ana hali gani.
Retweet 200 tu kwa @jjmnyika
Padri Kitima kwa niaba ya kanisa ametoa takwimu kuwa kwa miezi miwili kanisa limepoteza mapadri 25 na masisita 60 kwa changamoto ya upumuaji. Dr Abbas kwa niaba ya serikali wakalipiga biti kanisa kutoa takwimu.
Wewe umemuelewa nani?.
Retweet kwa Padri Kitima
Like kwa Dr. Abbas