@George_Ambangil@Safina255 Wachezaji wakali wa bei nzuri wapo ulaya mfano mzuri ni Ederson,,utd wanahitaji kuchukua muda wao tu kuangaza ligi tofauti tofauti,,hizi bei za 85 mpka 100 ni kupigwa tu yaani ni 100% gamble
On Good Friday, we remember the sacrifice of Jesus Christ. This day inspires us to cherish kindness, compassion and always be large hearted. May the spirit of peace and togetherness always prevail.
Nimesoma comments zote Elfu nne za Instagram, na comments 800 za Twitter,
Kuhusu lile swali langu la jana 💔 🦅
Comments nyingi zimemtaja #JPM
Hii inadhihirisha Mr. President alipendwa sana.
"The day you realize that EVERYTHING IS SPIRITUAL, you’ll stop moving like a fool in a world ruled by unseen forces.
Your thoughts? Energy.
Your words? Spells.
Your habits? Rituals shaping your destiny.
Your battles? Fought in realms you cannot see.
You’re not just hustling for money. You’re fighting for your soul.
You’re not just facing bad luck. You’re facing spiritual resistance.
Align your mind. Protect your energy. Pray like your life depends on it.
Because it does."
ILE XXL ILIYOKUWA IKIFANYA NATOROKA SHULE......😂🙌🏽
#TbT
👉🏽Ilikuwa ikifunguliwa na ngoma kali kinoma, Hapo mchongo ni wa TWANGALA chini ya "Dozen Selection"
Ngoma ikimalizika tuu, anatukaribisha kwenye Shoo na kutupa muongozo mzima wa kipindi kwa siku hiyo....
Tunakuwa tunajua kabisa ni Msanii gani atapita Mjengoni 😅 na hapo sauti ya FETTY ilikuwa ikisikika pia
👉🏽Baada ya hapo anagonga kibao cha pili, na Mara nyingi kwenye ngoma ya kwanza na ya pili, mwanetu BIG SEAN alisikika sana.....kitu ambacho kilifanya niamini Twangala anamkubali sana BIG
Baada ya hapo ni matangazo Mfululu, kisha inafatia PUSH{kama nimepuyanga nikumbushwe} Kabla ya {255} na DeeAndy
👉🏽Baada ya hapo tunaruka na Ngoma za Town na Mchongo ulikuwa chini ya "DJ ZERO na DJ STEVE B #Rip 💔🙌🏽
Baada ya hapo mtaalam SOUDY BROWN anafata na Gazeti la Makorocho {Uheard}
Mara baada ya "uHeard" inafata "Music On Demand" hapa zinachezwa zile ngoma ulizoziomba tuu....Ila inategemea na siku, Maana kabla yake kunaweza kuwa na ���🏽
~Kitaani kama MONDAY
~Vipande vya Buthii kama TuesDay
~Album Review kama ni ThursDay
~Jiwe la week kama ni Friday 😅
👉🏽Kisha tunaingia katika Sejimentii ambayo ilikuwa inapendwa na Wana kibao na ndani yake ni muda ambao anaongezeka ADAM MCHOMVU.....
"HOT 3 AT 3" 🔥
Nimekumbuka sana Zamani, kipindi ambacho sidaiwi kodi wala Sidaiwi chochote kudadadadeki 😅🙌🏽
XXL ya DHAHABU