@mshambuliaji Hapo ugomvi mkubwa ni yeye mbunge kutopewa sifa kulingana na shughuli anazofanya badala yake sifa anapewa mh rais.Narudia tena neno sifa mh!
@Sailes3991 Duniani kuna mambo mengi sana nilidhani pale kwenye ushoga na kuagana ndo mwisho kumbe kuna ubunifu mwingine yamejificha kama mbingu ipo kweli tutafika tume choka sana!
@DjSinyora We juzikati hapa si ulisema unataka tu mwanaume mwenye anapeleka moto kama ni pesa unazo Leo imekuwa tofauti tena uwe unasimamia msimamo Mmoja kama pesa pesa tuindae pesa kama mashine mashine tuzikoki tayari Kwa kazi
@Phbhimself Hii stori ime Kaa ka hadithi flani hivi kupata uhalisia wake una kua ngumu make ki kawaida hakuna mtu mchawi amewah jitokeza gadharani akakiri kama ye ndo mchawi bali wachawi wengi huwa tuna wahisi tu
@mshambuliaji Za wengine mpo kipaombele kuyasemea maovu ya kwenu mnayafumbia macho huku mkijioendejeza Kwa shangwe na vigelegele kuwa mnaupiga mwingi unafiki mtupu!
@MzalendoDaily Mtatafuta kila namna kumchafua mwenyekit na chama chake lakini hamtofika popote maji marefu yashawafika shingoni jahazi lenu Lina zama Sasa pambaneni!
@CrownMediaTZ Mtu inatakiwa arejeshe mkopo endapo taaluma yake ilio sababisha achukue huo mkopo una mlipa so mtu kasomea ualimu kakosa ajira amejiongeza kupigwa boda mnataka marejesho ya mkopo kwani chuoni alikuja kasomea kuendesha boda?
@clitonmichael@TunduALissu@MariaSTsehai We ni mtu wa mana kabisa wenye akili kubwa nchi hii watazikwanazo makaburini bila kuisaidia nchi chochote huku wakibaki wale wanao jiita machwa wao kwao kilakitu sawa Hawa huwezi sikia wametekwa wala kupigwa risasi